Wakati zoezi la kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi likiwa bado halijakamilika rasmi, baadhi ya vigogo ndani ya chama hicho wamejikuta katika wakati mgumu kwa aidha kushindwa kabisa kutetea nafasi zao au “kuvutwa mashati” na makada wengine wa chama hicho.

Je hii ni dalili kwamba wananchi wameanza kuamka na kuamua kufanya kweli kupitia kura hizo za maoni ili kuwapata viongozi wanaowafaa zaidi?

Kwa habari kamili na orodha za walioshinda na kushindwa bonyeza hapa na pia bonyeza hapa.

Pichani aliyewahi kuwa Waziri Mkuu,John Samwel Malecela ambaye kura hizo za maoni tayari zimekuwa chungu kama shubili.

Feedback / Comments

2 Responses to “KURA ZA MAONI CCM:VIGOGO WENGI KATIKA WAKATI MGUMU!”

  1. Comment by Kalito on August 2nd, 2010 4:32 pm

    Kambarage alikuwa na msemo wake kwa viongozi uUngatuke mapema na usingoje kungatuliwa Mzee wetu babu yeye John Samwel Malecela Please kubali kuwa that was it pumzika utumie pencheni na virembwe wako I wish you all the best

  2. Comment by petr simalile on September 4th, 2010 8:59 am

    babu pole,ile si umechoka, mnarithishana eehe

Leave a Reply