Je,unamtambua aliyepo pichani?

Dokezo:Ndiye msanii kutoka nchini Tanzania ambaye alijulikana na kusifika sana ulimwenguni kote ilhali nchini Tanzania,watu waliomfahamu,kuthamini kazi zake ni wachache sana ukilinganisha na mataifa ya nje hususani yale ya Ulaya.

Feedback / Comments

4 Responses to “UNAMTAMBUA?”

  1. Comment by Chiku Ali on August 3rd, 2010 8:37 am

    Huyu si mwingine bali Mgogo aliyefora na kutengeneza jina la Mtanzania hasa huku Ulaya. Hapa Norway aliwakilisha mara nyingi sana na show zake zilikuwa zinafura kwa umati wa watu
    Kifo chake kimeacha pengo kubwa sana kwa utamaduni halisi wa mtanzania. Angekuwa kwao hapa Norway, tayarikungekuwa na picha yake kumbukumbu katika mabustani na sehemu wanazozizowea watu kwenye mastarehe. Hata jumba lake la makumbusho lingekuweko na hadithi na historia yake ingefana na kutupa watu wake sifa tele tele. HUKO ZAWOSE! Umetutoka lakini daima utakuwa nasi kimziki na kumawazo.Tuko wengi tuliokupendaga na bado tunakupenda.

  2. Comment by king on August 3rd, 2010 8:55 am

    ukwe zawose

  3. Comment by yasinta on August 3rd, 2010 11:03 am

    ni Hukwe Zawose!!

  4. Comment by Mzee wa Changamoto on August 3rd, 2010 12:23 pm

    Naamini huyu ni Hukwe Zawose.
    Naweza kuwa nje ya mstari lakini nimuonavyo, ni kati ya wengi waliojenga jina lililowasahau na kuwakandamiza. JINA LA SANAA YA TANZANIA
    Blessings

Leave a Reply