Lisemwalo lipo,kama halipo laja.Msemo wa kwetu huo.Baada ya kuvuma kwa tetesi nyingi kwamba mwanamuziki maarufu,mzaliwa wa Haiti,Wcylef Jean,anatarajia kugombea Urais wa Haiti,hatimaye habari hizo leo zimethibitishwa baada ya mwanamuziki huyo kurudisha rasmi fomu za kuomba kupitishwa kugombea nafasi hiyo nyeti.

Huffington Post wanayo habari kamili.

Mcheki hapo chini katika wimbo wake maarufu “If I was A President”.Bila shaka wimbo huu sasa utapigwa na kuimbwa zaidi na zaidi baada ya mjuzi huyo kutangaza nia.

Wyclef anaongoza shirika lisilo la kiserikali linaloitwa Yele Haiti.Bonyeza hapa kuona mengine zaidi kuhusu shirika hilo,kazi zake nk.

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Photo Credit.Ajani.ca

Feedback / Comments

One Response to “WYCLEF JEAN RUNNING FOR PRESIDENT OF HAITI”

  1. Comment by sisterTZ on August 7th, 2010 10:31 am

    Binafsi naona kama hana political background ya kuwa rais..anyway wapiga kura ndio taamua. Taking in account Haiti kwa sasa ipo ktk hali mbaya so anaweza pata kura..

Leave a Reply