MASHA-ALLAH UKISIKIA LARGE LIVING NDO HII KWA RAHA ZAKE WAKE WOTE WAZURI MASHALLAH MUNGU AWAZIDISHIE UVUMILIVU MANA WANAWAKE TUNA WIVU NA NDIO BEAUTY YETU.
Comment by eva on
August 29th, 2010 5:24 pm
i think this guy thinks he is the greatest because he has it all…i feel bad for him – any man needing more than one woman is a weak. He is an insecure man,
Comment by zitto kiaratu on
August 29th, 2010 11:05 pm
ujinga wake ni kuowa wanawake wawili, jamaa dhaifu sana huyu, wake zake hawafanani naye, kama anapenda wekundu siangechibua mwenyewe. lazima ametoka visiwani huyu, jamaa zetu huko hawapendi weusi!!!!
Comment by mbonja on
September 8th, 2010 12:19 am
sasa hivi hao wake zake wanajiona wamepataaaa? hiyo inaitwo low self esteem angalia unavyokosa raha mke mwenzio anavyotajwa? haya kinacokukalsha ndani ni nini? dhiki? aku mwenzangu mie ningeondoka one wenzio walivyokuwa na raha wewe umadumaaaa? na we yusufu unaona huo ni ujanja? eti, soo proud nina wake wawili we big fala kweli, elimu kushni… ni hayo tu kwa sasa
unawahumiliate sema wanashindwa kusema
Comment by kusa on
September 8th, 2010 12:21 am
yani amewaonea tu hao, natamani ningekuwa mimi ndio mkewe wa kwanza, na mimi ningekuwa nahesabu awards za midume rijali iliojazia sio vitambi, sambamba na yeye anavyohesabu awards za wake huo ni ulimbukeni alaaa amechukiza sana
Comment by jaliath on
October 6th, 2010 3:50 am
sasa hao wake zake anakaa nao wote nyumba moja au? jamani inataka moyo, ukisikia miguno huku wee si moyo unauma…
hehehe, hatakama mzee yusuf umemuoa mke mwengine, Leila is still as beutiful as she will always be. kusema ukweli ni thawabu sikuona haja ya wewe kuoa mke mwengine. haya bora usiongeze wa tatu.
Comment by Mnene on
October 16th, 2011 2:05 am
Huo ndio uzuri wa kuwa mtaalam wa mapenzi na tena Daktari.Wewe iyaaa.
MASHA-ALLAH UKISIKIA LARGE LIVING NDO HII KWA RAHA ZAKE WAKE WOTE WAZURI MASHALLAH MUNGU AWAZIDISHIE UVUMILIVU MANA WANAWAKE TUNA WIVU NA NDIO BEAUTY YETU.
i think this guy thinks he is the greatest because he has it all…i feel bad for him – any man needing more than one woman is a weak. He is an insecure man,
ujinga wake ni kuowa wanawake wawili, jamaa dhaifu sana huyu, wake zake hawafanani naye, kama anapenda wekundu siangechibua mwenyewe. lazima ametoka visiwani huyu, jamaa zetu huko hawapendi weusi!!!!
sasa hivi hao wake zake wanajiona wamepataaaa? hiyo inaitwo low self esteem angalia unavyokosa raha mke mwenzio anavyotajwa? haya kinacokukalsha ndani ni nini? dhiki? aku mwenzangu mie ningeondoka one wenzio walivyokuwa na raha wewe umadumaaaa? na we yusufu unaona huo ni ujanja? eti, soo proud nina wake wawili we big fala kweli, elimu kushni… ni hayo tu kwa sasa
unawahumiliate sema wanashindwa kusema
yani amewaonea tu hao, natamani ningekuwa mimi ndio mkewe wa kwanza, na mimi ningekuwa nahesabu awards za midume rijali iliojazia sio vitambi, sambamba na yeye anavyohesabu awards za wake huo ni ulimbukeni alaaa amechukiza sana
sasa hao wake zake anakaa nao wote nyumba moja au? jamani inataka moyo, ukisikia miguno huku wee si moyo unauma…
i lyk it