JKN

JK

JKN

Feedback / Comments

5 Responses to “THE POWER OF AN IMAGE!”

  1. Comment by Mie Uyo on August 30th, 2010 5:35 am

    Jakaya cha mtoto kwa Kambalage,.anapanda mti uku kawekewa mkeka asichafuke,.Tutakukumbuka Mwl…mwanga wa milele umwangazie ehe bwana

  2. Comment by Marenga on August 30th, 2010 9:21 pm

    Dah..what a difference!Poor Nyerere,he truly loved this country.R.I.P Mzee wetu

  3. Comment by Kamanzi on August 31st, 2010 2:28 am

    Tofauti ya hao watu wawili ni kwamba mmoja wao ni mnafiki na mwingine inatoka ndani ya moyo. Mmoja wapo anajua uongozi ninini mwingine anagenge la wahuni wanaoongoza chama na nchi. Mmoja msomi wa kweli mwingine Kilaza. Mmoja fisadi, mwingine muadilifu. Mmoja anaruhusu mtoto wake atambe kama raisi msaidiza, mwingine hata watoto wake hawajulikani vizuri. Mmoja amejenga nchi, mwingine kaibomoa. BC sijataja jina wala nini. Yupi ni JK Mwalimu na yupi ni JK Mrisho kati ya hao mimi sijui.

  4. Comment by mwalim jr on August 31st, 2010 8:42 am

    KIUKWELI UONGOZI NI WITO NA SI ACTING KAMA WAFANYAVYO VIONGOZI WETU WA LEO BARAKA YA KUJILIMBIKIZIA MALI TU, PICHA ZINAJIELEZA……..ANY WAY MAY BE I WOULD DO THE SAME LIKE JK WHO KNOWS…..

  5. Comment by ritta on September 3rd, 2010 5:56 am

    hizi picha zimenisikitisha kweli
    mwalimu nyerere baba wa taifa,
    jk mrisho au brother man huu mkeka unaana nyingi sana kwani suti ikichafuka ni yeye atafua au anamaana gani na hao waliommuwekea mkeka wana mchuuza mwezao
    inatia hasira sana

Leave a Reply