Pichani ni Jenerali Davis A.Mwamunyange-Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania. Amekuwa Mkuu wa Majeshi tangu tarehe 13 Septemba mwaka 2007 na bado anashikilia cheo hicho mpaka hivi sasa.

Ukitaka kujifunza mengi kuhusiana na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) au kwa Kiingereza Tanzanian’s People Defense Forces(TPDF) ikiwemo historia yake,muundo wake,shughuli zake,jinsi ya kujiunga na jeshi na mengineyo mengi,Tembelea Tovuti ya JWTZ kwa kubonyeza hapa.

Be Sociable, Share!

Feedback / Comments

35 Responses to “JENERALI D.A.MWAMUNYANGE:MKUU WA MAJESHI YA ULINZI YA WANANCHI WA TANZANIA”

 1. Comment by Mwanamke wa Shoka (UK) on February 7th, 2011 11:55 am

  …nilikuwa naota mchaana kweupe:…nikawa nafikiria kwa mfano JESHI la wananchi (JWTZ)…wakachukua initiatiave kuboresha maisha ya watanzania kwa kuamua kujenga barabara zote za tanzania kwa kiwango cha juu…(yes, kikosi cha Ujenzi cha JW kinaweza saana hili)…nafikiria tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana…na tutasahau na yale mambo ya the so-called bara bara hewa.

  Nikiangalia kwa mfano traffic congestion ya hapo Dar…don’t think it will take a year for the JWTZ to finish a road project…

  Hili ni ombi langu (pamoja na kuwa it was my day dream) kwa Mkuu wa Majeshi wetu wa Tanzania Generali D. A. Mwamunyange. Alivalie njuga…atupunguzie shida siye wananchi…

  BC naomba mnipeperushie hili liweze mfikia.
  Blessings!

 2. Comment by Teyana on April 8th, 2011 5:19 am

  Ombi langu kwa mkuu wa Majeshi!!

  Chonde chonde Mheshimiwa, tunaomba utusaidie vijana wafanye harakati za kusimamia zoezi la usafi wa Dar, kwa kuanzia. Mkuu, ukiwamwaga kwa wiki moja tu, wakazi wa Dar watajitambua wajibu wao wa kuweka mazingira SAFI. Kwanini watu wanaendelea kutupa taka ovyo? kurusha taka ovyo toka kwenye vyombo vya usafiri? Kwanini wakazi wa Dar hawajitambui kwamba wao ni wanadamu na wanapaswa kuishi katika mazingira safi? Pale Lugalo kila mtu anajua, kwamba ukitupa taka tu, vijana wako hawamwachii mtu mtu huyo. Lazima wamwajibishe ipasavyo. Tunaomba hilo liwe kwa mji mzima. Labda swali litakuwa “Fungu la shughuli hizo litatoka wapi?” Pili mamlaka husika ziko wapi?

  Kuhusu fungu, mimi najua makampuni ya bongo yana pesa zisizo na kazi mpaka yanadhamini bonanza la mashabiki wa timu za nje, wakati tunaishi kwenye uchafu uliokithiri na manispaa zinasema hazina uwezo. Kipaumbele chetu kiko wapi? Nadhani wazzungu wa hizo timu wanatushangaa kweli!

  Kuhusu mamlaka, nadhani inabidi zisaidiwe, pekee mzigo unazielemea kama hali ilivyo sasa.

  UBARIKIWE WEWE NA UZAO WAKO KWA KUWA NAAMINI UTALICHUKULIA KWA UZITO MKUBWA!

 3. Comment by john gabriel on April 11th, 2012 10:23 pm

  I NEED TO JOIN THE ARMY AM WELL SKILLED AND EDUCATED TO ; EAGER TO LEARN AS LONG AS YOU GIVE ME THE OPPORTUNITY TO SERVE MY COUNTRY AT THE BEST OF MY YOUNG AGE ;

 4. Comment by bongocelebrity on April 12th, 2012 8:33 pm

  John,
  Ningekushauri utembelee ofisi yoyote ya jeshi au serikali iliyopo karibu nawe na huko utapewa utaratibu mzima wa jinsi ya kujiunga na jeshi.Asante

 5. Comment by samson joseph kapwani on June 21st, 2012 6:35 am

  nampenda sana mkuu wa jeshi wa tanzania kwanza kafanya mambo mazuri sana pia mahamuzi yake huwa ni ya huwakika ningependa hajekuwa rais wa tanzania ni hayo tu mungu hambaliki sana

 6. Comment by Evansi on July 29th, 2012 3:28 am

  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25yrs ni mtanzania.tatizo kubwa ni kwenu nyinyi uongozi wa jeshi kwanini amua ajiri darasa la saba kwani wapo watu wengi wnye moyo wa kulitumikia taifa lakini elimu yao ndio inakuja kua kikwazo
  mna ajiri ma form form na kidato cha sita lakini kumbukeni awo wanataka kwenda kadeti too na sio kulitmikia jeshi mwisho wa siku akikosa ivyo vyeo ana acha kazi tuangalieni na sisi darasa la saba ndio askari watihifu ktk taifa ili

 7. Comment by Evansi on July 29th, 2012 3:54 am

  kwakua nchi yetu ina mapori mengi awa vijana wanao ludishwa kutoka JKT ambao awaja weza kupata ajira nivema wange tumika kukuza uchumi ili wasije waka ludi mtaani wakakosa kazi waka shika bunduki mwisho wa siku kukawa akuna amani tena

 8. Comment by JOHN GABRIEL on July 30th, 2012 1:57 pm

  asante sana

 9. Comment by joseph on August 27th, 2012 8:04 am

  Aione;defence int.officer.
  Jeshi la ulinzi la wananchi wa TANZANIA ni miongoni mwa majeshi yenye nidhamu ya kipekee duniani.Lina viongozi imara na shupavu kuhakikisha taifa hili salama na imara kila wakati.Askari na maofisa wake hupatiwa mafunzo ya kijeshi na ya kijamii kiujumla mara kwa mara ili kuwaweka fit kimwili na kiakili.
  Inasikitisha kwa baadhi ya makamanda kuendesha some of division vile watakavyo na si jeshilitakavyo,mara kwa mara kumekuwa na maagizo mbalimbali juu ya kuboresha na kulipanua jeshi hili hasa katika technologia hii ya sayansi.hivi karibuni jeshi limeweza kuajili wataalam wa fani mbalimbali ili kuendana na hali halisi ya kidunia.
  Nalipongeza kwa kazi kubwa katika jamii zetu hasa wakati wa shida,maafa na majanga tofauti tofautijeshi hili limekuwa mstari wa mbele katika kusaidia na kulinda watu wake katika nchi hii.japo yapo mapungufu mengihasa katika namna ya kuendesha na kuboresha maisha ya askari na maofisa waliomo katika jeshi hili. Pia kumezuka mitindo mingi ya kuchangisha michango askari na maofisa kwa lazima bila kuzingatiamaagizo kutoka ngazi za juu,mfano mwezi huu wa august kumekuwa na michango mikubwa ya kuichangia timu ya rhino bila ridhaa ya mtu binafsi,pte-20000,jnc-30000 officer 50000,huu ni uonevu mkubwa ambao upo katika briged ya magharibi.si hivyo tu,kumekuwa mna malalamiko ya askari katika vikosi mbalimbali kutopewa allowance hasa pale wanapohitajika kwenda kozi ama kuhama toka mkoa hadi mkoa,fedha za likizo pamoja na vitendea kazi.
  Nalipongeza tena jeshi hili katika kuboresha miundo mbinu ya kisasa kama vile,kuwekewa allowancekati account.hii ni namna gani jeshi hili linavyo endelea katika wigo huu wa technolojia.kushiliki katika kulinda amaniya dunia nayo pia inatoa fulsa ya kujifunza mambo mengi kwa wenzetu waliopo katika umoja huo, maoni yangu;wakuu wa kamandi,briged na vikosi wafuate utaratibu wa jeshi kwa kufuata maagizoyatokayo ngazi za juu bila kujali.
  NB;message zote zitumwazo kutoka katika makao makuu ya jeshi,jeshi la nchi kavu,anga na
  jeshi la maji zifike kwa muda katika sehemu stahili
  mwisho nawapongeza, amiri jeshi mkuu,rais Jakaya kikwete,mkuu wa majeshi gen.mwamunyange ,lt.gen shimbo na wakuu wa kamandi zote.

  private
  joseph.magharibi
  26aug2012.

 10. Comment by Festo Samson on August 29th, 2012 12:57 pm

  kwako mkuu wa majeshi Tanzania, kwa heshima na taadhima ninaomba kujiunga na jeshi la wananchi, kwa kauli yako.

 11. Comment by Festo Samson on August 29th, 2012 1:22 pm

  MKUU HONGERA KWA KAZI YAKO IMARA NA YENYE KUKUBALIKA NAPENDA KAMA UNGELIKUWA RAIS WA NHI HII BY FESTO CONTACT 0754576168/0717679127-ARUSHA-TANZANIA, NAPENDA SANA JESHI MKUU NAOMBA NITIMIZE NDOTO YANGU KWA HALI NA MALI.

 12. Comment by JUMA A SADIK on September 20th, 2012 8:48 am

  I really to join with TPDF, i’m gratuate at Zanzibar institute of Financial Administration Chwaka Zanzibar,Bechalor Degree of Finance my phone number is 0774 528472,
  Please inform me once the chance of professianal are announced

 13. Comment by Mpegesa Aswile on November 26th, 2012 12:24 am

  kuna polisi hapa Iringa niliporwa Laptop amesema wezi anawafahamu lakini hawezi kuniambia mpaka nimpe hela na nimemwambia sina hata cent kaniambia basi na ni kweli ametulia tu, je katika taratibu na kanuni za kazi tukichukulia wao ndio walizi wa Taifa kiujumla je hiyo ni sahihi.

 14. Comment by bongocelebrity on November 26th, 2012 11:35 am

  Sio sahihi na nakushauri uwasiliane na TAKUKURU.Anachokuomba ni rushwa!

 15. Comment by Theophil Josephat on December 23rd, 2012 5:02 am

  Naomba kupewa maelezo ya namna ya kujiunga na Jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ) na maombi yanatumwa vipi na mwezi gani? Nashukuru sana.

 16. Comment by FLORA W.MREMA on January 28th, 2013 1:11 pm

  Your honor,
  I am a Tanzanian 25years, possessing a bachelor of Law. I am very interested to join the army.Please Sir, you are the one to make my dreams come true.
  Thank you

 17. Comment by Madawa on February 16th, 2013 7:22 am

  I am a gentle man of 25 years old,I AM A HYDRO GEOLOGIST Living in Arusha Tanzania, can you send me all contacts, i mean email address, p.o.box, of the head quater of tanzania peolpes defence force (Send for HQ of tpdf and Jkt)

 18. Comment by gift mlamba kimbio on March 5th, 2013 3:52 pm

  i realy admire this kind of job since i was too young until now plz may i join to make tanzania different.

 19. Comment by Theophil Josephat on March 12th, 2013 3:04 am

  Naomba kwa yeyote mwenye maelezo kuhusu mwezi wa kutuma maombi ya kujiunga na jeshi na namna ya kutuma anijulishe tafadhali. Asamte.

 20. Comment by mkwawa gabriel on June 16th, 2013 5:57 am

  jamani ajira mbona imekuwa ngumu kwenye jeshi hasa JWTZ naomba mwenye taarifa anijuze nahitaji kujiunga na kuilinda nchi yangu kwa moyo wangu wote am a degree holder graduate

 21. Comment by FANUEL JORWA on June 5th, 2014 2:33 am

  I really want to join the army what could i do

 22. Comment by FANUEL JORWA on June 5th, 2014 2:37 am

  Am Tanzania age of 26 years old pursing masters degree in environmental planning and management at IRDP when JWTZ post will be available

 23. Comment by allan on September 26th, 2014 10:45 am

  Naipenda sana kazi hii ya jeshi, nataman mungu anisaidie namie nije nipate nafasi ya kulinda taifa langu kupitia jwtz, napongeza kazi nzur ya jeshi letu, mungu ibariki Africa, mungu ibariki Tanzania

 24. Comment by hussein bandru kalokola on October 14th, 2014 5:36 am

  I need to join jesh la ulinzi bt shuklan zangu zimfikie mkuu wamajeshi kwa kazi yake nzur na Mafisa wake wote pamoja Lt jenelar shimbo bt lever Yang no diploma ya manunuzi na ugavi my no 0718921642 bt napenda jehshi coz baba yangu ni malehemu canal badru nuru kalokola kikosi 673 kj msalato so pleas help me sir……………… wako mtifu.

 25. Comment by thmas godwin on October 26th, 2014 5:28 pm

  hali si nzuri kwa wenye moyo na kazi ya jeshi kwani kilichojiri sasa jwtz eti kama hukusoma sayansi ni ndoto kuingia kumbuka kazi ya kichwa ni mahesabu sio mizigo yani wote wapewa nafasi sawa kujiunga na jeshi fomu hutolewa lini mnijuze

 26. Comment by NURU MLOWE on November 6th, 2014 5:54 am

  Mkuu naomba unisaidie niweze kujiunga na jeshi JWTZ ,Elim yangu ni Diploma Mechanical eng nimehitim katika chuo kikuu cha sayansi na technology Mbeya mwaka huu. Ninaumli wa miaka 24 naomba msaada wako (0755953130)

 27. Comment by NURU MLOWE on November 6th, 2014 6:10 am

  Mkuu naomba unisaidie niweze kujiunga na Jeshi JWTZ ,elimu yangu ni Diproma ya mechanical eng.Nmehitim katika chuo kikuu cha sayansi na technology Mbeya mwaka huu naomba msaada wako (0755953130)

 28. Comment by Nuru mlowe on November 6th, 2014 3:08 pm

  Mkuu naomba unisaidie niweze kujiunga na jeshi la JWTZ , Elimu yangu ni diploma Mechanical Eng na nimehitim mwaka huu ktk mbeya university of science and technology(MUST) naomba nisaidie 0755953130

 29. Comment by john m dugu on December 4th, 2014 1:43 pm

  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19, na elim yangu ni kidato cha nne(4), ninahitaji kujiunga na jeshi la JWTZ, kikubwa nahitaji msaada… pamoja kujua nafasi zinatoka lini?

 30. Comment by Mnganya,Victor V BALE(UDSM) on January 13th, 2015 4:53 am

  jamani vijana wenzangu tusilikimbie tatizo la ajira kwa kukimbilia JWTZ hiyo ni kazi ya wito sio suluhisho la kukosa ajira , kutokana na amani iliyopo nchini vijana wengi wameona jeshini ni sehemu pakwenda kupumzika na kula hela za bure , what if ukifika kule ukakuta hali sio hio, what if vita ikatokea utakimbia au utafanyaje? nawashauri mkawe wajasariamali kwenye biashara na kilimo kuliko kwenda kuliharibia sifa jeshi letu tukufu, napenda kutumia nafasi hii kulipongeza jeshi la wananchi tanzania kwa mfumo wakuwachukua na kuwafunza vijana wa kidato cha sita kwani ni rahisi wao kufunzwa maadili,uchapakazi na nidhamu ya jeshi kuliko wale waliokwenda chuo na baada ya kuona ugumu wa ajira wanaliangalia jeshi kama sehemu ya kuhemea.

  victormnganya@gmail.com
  0712411879

 31. Comment by benjamini on January 16th, 2015 4:13 pm

  nahitaji kuwa mjeshi ni nimesoma shahada ya mazingira udsm kam kuna mtu anajua namna ya kujiunga please inform me

 32. Comment by john beda mukungu on February 2nd, 2015 8:37 am

  mi nalipenda sana jesh la jkt na namengine embu mkuu tusaidie vjana wenye mapenz mema na uzarendo utupe nafac ya kujiunga nimesomea mambo ya operating machine veta mungu akubark sana namba 0754908256

 33. Comment by Lucas solomon on February 4th, 2015 5:40 am

  Mkuu ninapenda sana kujiunga na jeshi la wananchi ila napenda Kuwa commando je ni vigezo gani vinavyotumika kuchagua macomando?

 34. Comment by mwalimu shabani masende on February 25th, 2015 1:12 am

  jambo!!mimi naipenda kazi ya jeshi tangu nikiwa mdogo naomba nisaidiwe kujiunga na (jwtz)…elimu yangu kidato cha nne…nina miaka 23

 35. Comment by Rashidi saidi kigalu on April 1st, 2015 12:47 pm

  Mimi ni kijana wa kitanzania napenda kujiunga na jeshi na sijui taratibu zake na mm nafanya kz ya utingo wa malori ya kuenda njee napenda sana kujitolea kwenye inch yng naitaji msada we nu

Leave a Reply