MC EPHRAIM KIBONDE

Pichani ni Ephraim Kibonde mmojawapo miongoni mwa watangazaji mahiri wa Clouds Fm.Mbali  na utangazaji, Ephraim  pia ni mshereheshaji kwenye shunghuli mbalimbali zikiwemo,harusi,tafrija mbalimbali na hata mambo ya kijamii.Pia kama mnavyojua,Kibonde ndio mtangazaji mahiri nchini wa mapambano ya ndondi(ngumi).

Hapo pichani alikuwa akiwajibika kama MC katika send off moja jijini Dar-es-salaam.

 1. masai stephano, 05 February, 2011

  KIBONDE Umewasha moto ambao huwezi kuuzima hata Rais hawezi kuwaambia wasomi wa UDSM kauli za kejeli japo ana full ulizi sasa sijui itakuwaje kwa wewe panya buku ambaye huna hata masai,utakuwa fidia ya kile tunacho kidai.kuanzia sasa tunakusaka kama marekani anavyomsaka OSAMA.mwisho wako wa kufanya kazi clouds umefika, tumeumizwa sana wasomi na kauli zako.kuna wasomi,wanasiasa mashuhuri,mawaziri na serikali kwa ujumla wako kimya kwa sababu wanajua uhuhimu wa kile tunachokidai,cha msing jinyonge ww mwenyewe ili kesho tupate taarifa kuwa umekufa kwahiyo umepoteza ushahidi.kwa hili hatutakuvumilia

 2. mnyalu, 05 February, 2011

  Sie tunaoandamana sio wapumbavu kama unavyofikiria…tuna akili timamu na madai yetu nia ya msingi…so bro jaribu kufikiria kwanza unapotaka kuzungumza kumbuka unawapotosha watanzania kwa kuwapa habari zisizo na ukweli ndani yake…. pia tuna wasiwasi na taaluma yako ya utangazaji je uliisomea au kwa kuwa una maneno mengi mdomoni? misri nchi yenye wasomi wengi wanaandamana kudai haki, ukiona msomomi anadai kitu ujue ni cha msingi kwani hawezi kukurupuka…. so tunakutaka ufute kauli yako. far……….we

 3. dr.tunda, 05 February, 2011

  …Huyu jamaa mimi ninamfaham siku nyingi, ni mtu wa kupenda sifa sana kupita maelezo. Huwa mara nyingi ukimsikiliza stori zake redioni huwa ni pumba pumba hiv. yaani anaongea kama anaongelea kwa kutumia sehemu tofauti na mdomo. Ila nilichogundua ni mtu asiye na uwezo wa kufikiri yaani ni msema chochote kinachokuja mdomoni ili mradi tu akilaziiimishe kuchekesha hata kama ni matusi anaongea.Unapozungumzia wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm, kuishi kwa 5000 na kula chakula kwa mama ntilie cha buku ili waweze kusukuma maisha…..unapoamua kuwadhalilisha kiac hicho kwa mdhaha kupitia redioni….yaaani nashindwa kukuelewa kwa namna yoyote.

  alumini 1996

 4. mdau, 05 February, 2011

  we ni fala unatukana wanachuo!!!!
  mtoto wa masikini wewe umepata four form four mungu kakujalia umepata kijikazi unatukana watu!!!
  yani jiangalie msura wako huo ukikatiza tuu lazima tukuuu,……..k
  umechokoza moto. utarudi kijijin kwenu

 5. Kish, 05 February, 2011

  Tatizo la huyu kijana mdomo ndo ajira yake ndo hapo matatizo hutokea,anashindwa kutofautisha kipi cha kuongea anachojua kubwabwaja tu,hivi nikuulize kibonde, 5000/=kwa siku unaendeshaje maisha?ule,ulale,utoe photocopy hivi unajaribu kutafakari?mi nadhan unaitaji kupewa fundisho ili next time uwe na adabu na iwe fundisho kwa wenzako wenye midomo mirefu kama yako.

 6. NABII-ARU, 06 February, 2011

  Oyaa kibonde,we una kichaa unawezaje kuongea vi2 ucvyovijua ????????? au una issue nyuma ya pazia ????? hv una degree wewe nkama unayo uliitoa wapi maana wasomi hawako hvy au we ndo mamruki kama ume2mwa uropoke hayo jua umejitoa mhanga ……….hv unafikiri chuo kikuu ni rap na viduku ulivyozoea???????????? au unafikiri udsm ni ukumbi wa sherehe ????? ndo unaleta u mc wako jaribu kukua kiakili maana unaonekana bado katoto……….nna wa2 makini huongea vi2 makini jirekebishe kijana ………….utu uzima ni majukumu cyo kujitia wazimu……………..

 7. Mackarious Peter, 06 February, 2011

  Natoa laki2,tufanye harambee haraka huyu jamaa ni mgonjwa wa akili, apelekwe Mirembe.

 8. jimmy, 06 February, 2011

  kibonde huna logic elimu yako haikuruhusu ku-analyse madai ya msingi ya wana udsm coz huna hoja..kaa kimya alaa!!!

 9. FARAJA, 06 February, 2011

  Kibonde jifunze kuwa na busara na upime unachokiongea kwanza.
  Polity be advice!!
  ‘PERSONAL I SUPPORT UDSM IM WITH U IDEAL”

  FROM UDOM

  ,

 10. mkway, 06 February, 2011

  umeongea umesikika,ila kila lifanywalo na mwanadamu lina matokeo yake………tumekusikia umetukana sana,umepaka sana,umeponda sana ila hayo ndio uliyotaka watanznia wakusikie kwenye radio ya watu?
  kwanza,siamini kama utangazaji ulisomea na pia kama taaluma yako?,hapa nina wasi wasi na wewe…………
  elimu yako uliishia wapi?
  unataka umaarufu kupitia udsm?,mbona huo ulioupata na clouds unatosha!
  au unataka kazi ikulu,yule rweyemamu mwenzio kaingia darasani anaweza na pia vyeti vyake si vya kughushi.
  kama elfu tano inakutosha ni wewe lakini wasomi wa udsm haiwatoshi………shida zako sio zetu,usikasirike tunadai haki yetu.
  Ulichokifanya ni kutowatendea haki wasomi wa chuo na kukipunguzia hadhi kituo cha clouds mbele ya jamii ya udsm.
  ila swali linakija kwako na menejimenti nzima ya clouds fm,kwa kua mnajua kwamba wanafunzi wa udsm ni malaya na walevi kwa nini nyie ndio waanzilishi na waendelezaji wa tamasha la college bash?hamuoni nyie ndio chanzo cha kuwapunguzia hela wanafunzi wa vyuo?kama umalaya na ulevi ni wa mtu binafsi vipi kwa wale ambao sio walevi wala malaya naona hapa hamjawatendea haki.iweje leo nije niseme watangazaji waclouds wote waropokaji wakati wapo wengine ambao sio waropokaji………..kama una uhakika wanafunzi wa udsm ni malaya na walevi tupe vithibitisho kama mimi ninavyosema kuwa ephraim kibonde ni mropokaji kwa kua nimekusikia ijumaa kwenye kipindi cha jahazi ukiwadanganya umma wa watanzania……..jambo moja linaweza kukupunguzia hadhi mbele ya jamii,kuwa makini.

 11. nasli, 06 February, 2011

  huyu jamaa punguani , inakubidi ukapimwe huwezi sema cc tunakufa na njaa then unasema dada zetu wanajiuza we unakutana nao wapi au na ww ujaniuza tumechoshwa na tabia zako sasa umetikisa sehemu isiyo tikisika ama zetu ama zako au unadhani tumefika UDSM kwa kubahatisha tumechoma mafuta kaka na makwetu tumeaga umelianzisha ww tunamalizia cc…

 12. CHACHA, 06 February, 2011

  Kibonde kama ulikoswa cha kuongea bora ungepiga mluzi tukaelewa kuwa umeishiwa,huwezi kutudhalilisha hivyo cc wanaudsm.

 13. Ewarsha, 06 February, 2011

  kibonde mi siwezi kukuita hata kwenye bajeti
  ya mahitaji ya mtoto wa chekechea kwa sababu hujui hesabu za mapato.

 14. hamadi wa udsm, 06 February, 2011

  hivi we kibonde tule tuDs tuwili za civics na nutrition zinakutia kiburi mno.mie nashangaa kuona mtu aliyefeli kiswahili na kingereza kuwa mtangazaji.Bro Ruge umemtoa wapi huyu mtu,tutolee hawa watu tuzidi furahia the peoples station

 15. miner, 06 February, 2011

  kaka kuwa makini na kauli zako. madai tunayodai ni ya msingi au we hujaona? hayo unayohisi tunayafanya una udhibitisho? wazazi wetu kuchangia harusi hilo si kweli kabisa si ni watoto wa wakulima.

 16. NASSOR JANGWA, 06 February, 2011

  Big up 2 u bro! I real appreciate your performance! You’re doing so well. Im much interested with your performance.

 17. hacker, 06 February, 2011

  This guy is ridiculous…like totally stupid!!…trying to talk against nearly 20 thousand smart people of the university of dar-es-salaam whom he is not even half untelectually capable of mathing up to is increasingly stupid the more you think of it.

  I thought waandishi wa habari wanatakiwa kuripoti yaliyotokea sio kuripoti mawazo yao…if he realy is a thinker like those of us who made it to the university then his job wuldnt be the one of entertaining strangers and making a fool of himself.

 18. sukununu, 06 February, 2011

  EEHEEEH KWELI UKWELI UNAUMA, MMEMTUKANA NA KUMNANGA KAKA WA WATU YOTE NI KUDHIHIRISHA KUWA MAWE YAKE YAMEWAPATA, YASINGEWACHOMA MSINGEMTUKANA MNGEDHARAU TU!

  SI MWENDE MKAKOPE BANK? SHIDA YOTE YA KUANDAMANA YA NINI NA MABENKI YAPO NENDENI MKAJALIZIE HIZO EXTRA BANK TUONE KAMA MTAENDA. NI KWELI KUTWA MKO SAMAKI SAMAKI MNATANUA HALAFU MNAANDAMANA NANI ATAWAELEWA? UKITUKANA UJUE LIMEKUGUSA NA LIKIKUGUSA LAKO HILOO!

  SABABU SERIKALI YENU INAWALEA KAMA MAYAI WENZENU TUNADEKI VYOO, KUSAFISHA MAJUMBA YA WATU KUWA SECURITY GUARD, TUNALEA VIBIBI NA VICHAA ILI TUPATE ADA NA PESA ZA KUJIIKIMU ZA SHULE NA HATUNA MUDA WAMATANUZI, MLO NI CORNFLAKES NA CAGED CHICKENS!

 19. Kamanzi, 06 February, 2011

  Aka kajamaa ni kapuuzi kanaendekeza majungu na ushoga pale Clouds. Baada ya kupata division zero form four, kamegundua the only way to progress ni kujipendekeza kwa CCM, Kikwete na wajinga wenzie. Wanaomsifia ninawasiwasi kuwa nao wapo kama yeye na ndio maana nchi haiendeleei

 20. kidu, 07 February, 2011

  kweli nimeamini watu awakosi chakusema sawa kibonde alikosea kusema but si swala la kusema maneno hayo yote wakati nyie ni wasomi tena wa MNAKARIBIA KUMALIZA CHUO BT STIL MNATUKANA CHA MAANA HAPO KILA MMJA WENU KASHAPATA UJUMBE,TUNGANGE YAJAYO NA SI KUTUKANA KISA HAMNA MTU ANAYE JUA NANI YUPO WAPI NA NAI YUPO WAPI MAANA NINGEKUWANAJUA WEW UPO WAPI NINGEKUTAFUTA ZEN TUNGEJUA KAMA KWELI UNGEWEZA KUFANYA UNAVYO SEMA AU LAH,WATU MSIJIANGALIE KWA VILE MPO 2000 MNAANDAMA KUMTAFUTA MTU MMJA BUT KUMBUKA PALE CHUO ULIENDA MWENYEWE NA UTAONDOKA ALONE SASA KAMA UNAPENDA MATATIZO DUNIA HII NENDA KWA VIKUNDI ZEN UTAJUA KAMA HATA HIZO KIDOGO ULIKUWA UNAKIGOMBANIA KILIKUWA NI KUPOTEZA MDA WAKO BETA UNGEKAA KIMYA ZEN UMALIZE UJE UGOMBANIE MSHAHARA HUKU MAOFSNI TU KULIKO KUPIGA KELELE MITAANI ZEN KUTUKA WAKATI NYIE NI WASOMI NA YEYE SI MSOMI JE KUNATOFAUTI GANI KATI YA NYIE NA YEYE?,JE MKIMPIGA ZEN AU MKIMDHURU WASEMI WANAFUNZI WOTE WOTE WA udsm NI MOST WANTED NANI ATATESEKA MJINI HAPA?NA WEW UMETOKA KIGOMA,JE WANANCHI WAKIAANZISHA BISHU NA NYIE KILA MKATIZAZOPO MTANI NI KICHAPO TU JE MTAKUWA MNAANDAMANA MDA WOTE SASA KAMA NYIE NI WASOMI KAENI MTAFAKIRI KULIKO KUTUKANA TU

 21. JOHN, 07 February, 2011

  If I could be Head of state ningekifunga chuo kikuu sababu baadhi ya wanafunzi chuoni hapo wanaonekana hawana busara kwani maandano siyo suluhisho la ufumbuzi wa tatizo mnalotaka litatuliwe, ni bora mngeteuwa baadhi ya watu waende kuonana na wahusika kama waziri wa elimu ktk kupata ufumbuzi wa tatizo hilo na siyo maandamano ambayo yanahatarisha hata maisha yetu kama yule dada aliyoharibikiwa mimba yake, someni wazee acheni matatizo yanayoweza kuzuilika.

 22. gwakisa, 07 February, 2011

  kibondeeeee..pole sana. so punguza kulopoka no one is interrested with your story. jaribu kuwaiga watangazaji wenzio. kama vp tangaza taarabu

 23. Mark, 07 February, 2011

  Mzee suti kubwa halafu kumbe kichwani hamna kitu…!!

 24. Act, 07 February, 2011

  Nyie wanafunzi , kweli bado ni wanafunzi acha kumshambulia jamaa !jadili hoja ya msingi halafu ukubali mawazo yake ! sio kujibu kwa kashfa !nyie mlikuwa mnalipa mamlioni ya fedha Elimu ya secondary !sasa pungugu ya chuo unajiongezea !msitake maisha raisi !ila idadi ya wasomi iongezeke lazima mgawo uwe mdogo na wapate wengi sawa jamani ?

 25. Act, 07 February, 2011

  Nyie wanafunzi , kweli bado ni wanafunzi acha kumshambulia jamaa !jadili hoja ya msingi halafu ukubali mawazo yake ! sio kujibu kwa kashfa !nyie mlikuwa mnalipa mamlioni ya fedha Elimu ya secondary !sasa pungufu ya chuo unajiongezea !msitake maisha raisi !ila idadi ya wasomi iongezeke lazima mgawo uwe mdogo na wapate wengi sawa jamani ?

 26. NASSOR JANGWA, 07 February, 2011

  Hakuna aliyekamilika kila binadamu ana mapungufu wengine mapungufu yao yanaonekana kwa urahisi na wengine kuna ugumu kidogo kugundua udhaifu wao! Lakini hakuna aliye sawa.

 27. gwakisa, 07 February, 2011

  sio hayo tu bro ni mlopokaji kinoma. unakumbuka uli suggest kila mtanzania achange sh 250 ili tuilipe dowans ‘come on men that is stupid idea’

 28. ruby, 07 February, 2011

  Big up kaka yangu

 29. chapombe, 07 February, 2011

  nimeona kule juu watu wanamsifia kibonde eti anasauti nzuri.sasa sauti nzuri na upupu kichwani itasaidia nini.issue ya UDSM,si ya kuropoka kama umetoka usingizini ili kikwete akuone wa maana.kwanza kwenye ili swala media,zinatakiwa kutoa ripoti wa wanachi nini kinendelea pale,na wala kutoa misimamo binafisi kwa faida binafsi.kama mtangazaji,amekiuka maadili ya kazi yake kuonyesha upenzi wake kwa serikali iliyo madarakani dhidi ya wasomi wanaodai mazingira bora ya elimu.ni ujinga.

 30. Mwanamke wa Shoka (UK), 07 February, 2011

  …he he he heeeeeee!! Mambo ya UDSM waachieni wenyewe…born and bred UDSM watoe maoni maana wanakielewa ndani/nje…aka babu wee siri ya mtungi aijuwaye kata!!

 31. Mwanamke wa Shoka (UK), 07 February, 2011

  vyuo vikuaa…(for example UDSm) huwa vina matatizo ila the way vinavyokuwa-portrayed to outsiders is utter ridiculous…ndio maana nasema waacheni the born-&-bred UDSM watoe hoja…wakate issue!!

  Kaka Kibonde weye kaza buti tuu mambo ya U-MC kwa saana…usichanganye issues!!

 32. patrick, 08 February, 2011

  big up

 33. NASSOR JANGWA, 09 February, 2011

  Duh Kibonde kaitafuta nongwa!

 34. josseee, 23 March, 2011

  weeeeeeeeeeee mzembee tu na wanaokushabikia ni wapuuzi ka weee m2 mzima ovyoo acha kuingilia mambo ya wasomi

 35. damian, 18 June, 2011

  Kbonde you are doing good bt acha kukikandia chuo cha udsm.apart from hilo ur are good tena haswakatika kipindi cha jahazi pamoja na anorld kayanda na wasiwasi mwabulambo hongera sana………..

 36. Twange Lazaron, 21 July, 2011

  Unayo nafasi kubwa katika Jamii yetu kwa kuwa katika vipindi vyako radioni,unajuza,unaelimisha,unakosoa,unafurahisha na mara nyingi unatoa maelezo ya ziada juu ya mambo ambayo yanahitaji kueleweka vizuri katika jamii ya Watanzania. Hongera kwa Kazi nzuri.

 37. PRINCE PASTORY, 25 January, 2013

  INTERESTING. MAPINDUZI YA HABARI.

 38. Rogathe, 11 August, 2015

  asante kaka Kibonde uko vizuri….jaribu pia kuinua watangazaji wadogo wengine,,,,kuna vipaji huku,TUIJENGE TZ

Copyright © Bongo Celebrity