Sijui kama unakumbuka asili ya neno “Kidudu Mtu”.Ila ninachokumbuka mimi ni kwamba kulitokea vijidudu fulani hivi vilivyokuwa na sura ya mtu vikawa vinaweka makazi yao kwenye miti ikiwemo mihogo.Vina sura ya mtu,pua,macho.Sikumbuki kama vilikuwa na masikio.Kwa kifupi sio mtu bali ni kidudu hence kidudu mtu.

Piga ile picha ya kidudu mtu.Mwanadamu asiye mwanadamu ilimradi tu.Maudhui hayo unaweza kuyaweka katika wimbo “Kidudu Mtu” kutoka kwao Offside Trick(wale waliotuletea Bata,Samaki na Ahmada). Sasa ukishindwa kuoanisha Kidudu Mtu na maisha ya mtu au watu,usishangae wala kusikitika.Tungo zao zimekuwa ngumu kutafsiri.Si unakumbuka ilivyokuwa katika wimbo Bata? Gumzo la Kiswahili.

Katika wimbo huu Offside Trick wamemshirikisha mwanadada Baby J.Usikilize

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Be Sociable, Share!

Feedback / Comments

5 Responses to ““KIDUDU MTU”-OFFSIDE TRICK”

 1. Comment by Gustav B ferouz on February 20th, 2011 4:33 pm

  Nyimbo yenu ni nzuri sana ila punguzeni vijembe kwa swaiba wenu AT kumbukeni mlipotoka vijana…….

 2. Comment by moody hassan on May 19th, 2011 3:51 pm

  Hey nyie vidudu m2 muache kusema yawa2 wananikel w2 wenetabia hiyo nihayo 2!!!!!!!!!!!!!!!!!

 3. Comment by hamoud hassan on May 23rd, 2011 4:05 pm

  nimewakubali vbaya ndgu zangu msisikilize ya wa2 big up…..

 4. Comment by mfaume on May 28th, 2011 3:47 am

  nawauliza kuwa je wimbo huu ni kwaajili ya kumpiga dongo “AT” au mnaweza kutuambia nini washabiki wa mduara!!!!

 5. Comment by mfaume on May 28th, 2011 3:49 am

  nawauliza kuwa je wimbo huu ni kwaajili ya kumpiga dongo “AT” au mnaweza kutuambia nini washabiki wa mduara!!!!Mbona na yeye amerudisha jibu kwa kutoa “vifuu utundu” je mnabifu?

Leave a Reply