NYUMBANI LOUNGE-KARIBUNI!

 1. David, 11 March, 2011

  Bibie umejitahidi ila punguza mabishow watakufilisi kwa kunywa kwa kusign.

 2. Adam kiluvia, 17 July, 2011

  Sema jide dadaa tuwekee website mtuwangu ya mgahawa kuboresha huduma kwa wateja wako na itakwa rahisi kidogo tujue una offer nini au sio binti machoz

 3. fredy abby, 06 October, 2011

  nadhani watu wengi stil hawajui iko wapi hata adds za kwenye radio hazisemi location tena kama mwanzo,so lifanyie kazi mamy

 4. framk assey, 10 October, 2011

  iko poa jide

 5. shekha, 14 December, 2011

  jide mamito sema iko wap taja location cz alot of pipos wanataman kuja but hawajui iko wapi,,

Copyright © Bongo Celebrity