SINGO MPYA KUTOKA KWA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA

Kama ulidhani Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka Sugu peke yake ndio mwanahip hop Bungeni,yakubidi ufikirie upya.

Mbunge wa Arusha mjini,Mheshimiwa Godbless Lema,amefyatua “singo” yake ambayo inaelezea vurugu na vifo vilivyotokea Arusha mapema mwaka huu kufuatia maandamo ya CHADEMA yaliyoingia dosari.

Kwa bahati mbaya BC,bado hatujaipata singo hiyo.Ikiwasili tutaiweka hewani.

Pichani ni Mheshimiwa Lema akiwa ameshikilia CD yenye singo hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-salaam.

Photo: Venance Nestory via Mjengwa blog.

 1. Robson, 24 March, 2011

  Oooy r.chuga we are born n ril hip hop.hip hop in R.chuga iz neva die. 1st i thnx GOD coz now 2na Mbunge wa ukwel GODLESS LEMA iz sing HIP HOP in A,CITY 2ko juu aarifu,LEMA we love u al broda. Frm ROBSON

 2. Charles Frank, 28 March, 2011

  Amini usiamini mwaka huu itafahamika tu,,,,coz watamchukia bungeni na baadae wataenda nyumbani au Hotelini kupunguza MAWAZO au kujiliwaza na SINGLE YAKE.
  ALOOOOOOOOOO,,,Hii imekaa vizuri hadi bendera za Chama kile naona zinatubu na kusanda,,
  BIG-UP BROOOOO,,,,

 3. Godwin, 24 May, 2011

  Baba endeleza chama tupo pamoja

 4. Richard Ngaya of Mbozi Mbeya, 09 June, 2011

  Honourable G. Lema keep on fighting for Tanzanians, we other Tanzanians we are behind you. We know that CCM has planned various strategies to reduce your efforts towards sustainable Tanzania, we shall keep in touch with you and God will.

 5. Mwita Matutu, 06 July, 2011

  Jamaa sisi tuko front na wewe huku tarime tunakushukulu sana hasa kwa ile inshu ya nyamongo

Copyright © Bongo Celebrity