“MAASHALAAH”-CHIDI BENZ Ft.MZEE YUSUF

Umeshawahi kujiuliza siku moja kwamba mwanamuziki wa Bongo Fleva au Hip Hop akishirikiana na muimbaji wa muziki wa mwambao,taarab,kitatoka kitu gani?

Kwa upande wangu,sijawahi.Kama niliwahi basi niliona nyota tatu.Nikaona haitowezekana na hata ikiwezekana,itakuwa mukesh mukesh. Wakati nikiwaza hilo, Producer Mika Mwamba alikuwa anaona linawezekana. Chidi Benz aliona ni kheri. Mzee Yusuf akaridhia kabisa.Inawezekana.

Matokeo yake ni wimbo utakaousikiliza punde. Ni ushirikiano wa Chidi Benz na Mzee Yusuf.Kuna vionjo vya Pwani na vionjo vya Hip Hop kimtindo.Naweza kusema it’s a job well done. Unaitwa Maashalaah.Maanake nini vile?Listen;

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity