
Blogging for good 5 YEARS. You definitely deserve all the Congratulations.Hongera mdada.Kwa picha na habari zaidi,tembelea hapa.

This is to inform the general public that the Muhimbili National Hospital Board of Trustees has appointed Dr. Marina Aloyce Njelekela as the Executive Director of the Hospital with immediate effect. Before her appointment, Dr. Njelekela was a Senior Lecturer and Head of the Department of Physiology at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS).
Dr. Njelekela has worked with MUHAS since 2001 and prior to that, she had worked at Kisarawe District Hospital as a Medical Officer and at the Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) as a Registrar until 1998 when she went for further studies in Japan.
Dr. Marina Njelekela holds a Doctor of Medicine Degree from the Univeristy of Dar es Salaam, and a PhD in Human and Environmental Studies from Kyoto University, Japan. Her area of specialization was Pathogenesis of Lifestyle Related Diseases in Developing countries.
As a team player, Dr. Marina Njelekela led the Medical Women Association of Tanzania (MEWATA) for six years. During her two terms as a MEWATA leader, she was in the forefront of health awareness among women and the general public, especially on Breast Cancer Awareness and Screening Campaigns that were conducted in Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Mtwara, Lindi, Dodoma, and Manyara.
She is also well known for her role in advocacy campaigns and has brought to light the real extent of the problem of breast and cervical cancers in Tanzania that led to significant improvement on the prevention and management of Cancers in the country.
Dr. Njelekela sits on various Boards, including the Aerial Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiatives (AGPAH) and Management Development for Health (MDH). She is a recipient of various awards in academia and social services, including the prestigious Martin Luther King Drum Major Award for Justice that was bestowed on her by the US Embassy in January 2010 for her efforts to improve women’s access to health care services.


Hawa jamaa…ni kina nani?Wanapelekaje mkono kinywani?



Ukiwa nje ya mipaka ya Tanzania hususani katika nchi za Ulaya na Marekani ya Kaskazini ukazungumzia Hip Hop ya kutoka Afrika Mashariki,basi usishangae ukaulizwa kama unawajua X-Plastaz.Ni kundi linalojulikana sana nje ya nchi.Ndio utambulisho wa Hip Hop ya ukanda huu huko kunako “walami”.Staili wanayoitumia wanaiita Maasai Hip Hop.Hapo sasa.Utakumbuka mwaka jana msanii kutoka kundi hilo alikuwepo katika BET Awards Cypher sambasamba na KRS-One kitu ambacho kilizidisha mileage za kundi hilo kimataifa.
Hapa wanakuletea video mpya ya wimbo “Africa” ambao wamemshirikisha Fid Q na Bamba Nazar.

Bernadette Wawuda Msafiri
October 24, 1943 – November 1, 2010
Hatukujua asubuhi ile Mungu angekuita.Katika maisha tulikupenda na katika kifo hivyo hivyo. Tulivunjika moyo kukupoteza, hukwenda peke yako bali sehemu yetu ilikwenda pamoja nawe siku ile Mungu alipokuita nyumbani. Umetuachia kumbukumbu nzuri, upendo wako ni muongozo wetu.
Japo hatukuoni wakati wote uko pamoja nasi. Kiungo katika familia yetu kimevunjika, maisha yetu hayako sawa tena. Lakini kadri Mungu atakavyotuita mmoja mmoja viungo vitaungana tena.
Unakumbukwa na Mume wako, watoto, wajukuu, jamaa na marafiki.
Kutakuwa na Misa ya Kumbukumbu siku ya Jumatano tarehe 2 Novemba 2011 saa 11 jioni katika makaburi ya KONDO ( Tegeta ), Dar es salaam
Nyote mnaalikwa.

Bila shaka unafuatilia siasa za nchi yetu.Ni nani asiyefuatilia?Kila kitu hapa kinaenda “kisiasa”.Kila kukicha vichwa vya habari vinavyopamba kurasa za mbele za magazeti na majarida yetu vimejaa “siasa”.Siasa ndio sisi na sisi ndio siasa.Bahati mbaya zaidi ni kwamba hata mambo ambayo kimsingi hayahitaji siasa bali weledi,sisi tunayapindishia kwenye siasa.Ni kama vile hakuna imani kwamba kuna yanayowezekana bila siasa.
Katika ulingo huo wa siasa,yupo mtu ambaye siasa yaweza kuwa ndio kazi yake.Ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Nnape Nnauye(pichani). Ni kijana.Bado ana nguvu ya kuongea na kukitumikia chama tawala.Nikiwa kama mtazamaji wa siasa za nchi(kama wewe), nasikia mengi kutoka kwa Nnape Nnauye.Nasikia habari za kujivua gamba.Nikigeuka nasikia habari za maamuzi mazito.Ninapoanza safari ya ndotoni,nasikia habari za uongozi uliotukuka,habari za marais watarajiwa,vijana. Kisha nasikia kuhusu mmeguko ndani ya Chama Tawala.Kwamba kuna makundi.Kuna hujuma nzito miongoni mwa wanachama…wengine wakongwe.
Kwanini naandika hili?Najaribu kumuelewa Nnape Nnauye.Ni kiongozi au mtendaji wa aina gani?Anasimamia itikadi zipi?Nini kinamsukuma? Kwa sababu bado sina hata sembuse ya majibu kwa maswali niliyonayo kichwani kwangu,nataka kuanzia kwako msomaji.Ningependa zaidi kusikia kutoka kwa wanachama au wapenzi wa CCM.Mnazungumziaje utendaji wa Nnape? Na kwa wale wenzangu na mie tunaotazama kutoka pembezoni mwa fensi,mnaonaje? Miaka 10 ijayo,unadhani Nnape atakuwa wapi?
From his latest album, Maisha Ni Matamu,Samba Mapangala, has released a new video from one of the songs making up Maisha Ni Matamu. The song is titled “Zanzibar”. Filmed in Zanzibar and Nairobi, the clip presents scenes of the island’s many charms–the mysterious alleys and bustling markets of Stone Town, the gorgeous beaches and quaint dhows of the Indian Ocean, colorful people and sensuous dancers–while paying tribute to the venerable Zanzibari icon Bi Kidude and the annual Sauti za Busara music festival.
Alongside Samba’s sweet soaring voice, “Zanzibar” features a guest vocal by Awillo Mike of Kenya’s Ja-mnazi Afrika band, and a sinuous Congolese guitar solo by Zaiko Langa Langa’s Beniko Popolipo.

Kwa takribani miezi minne sasa,watanzania na watu wote wanaoongea au kutumia lugha ya Kiswahili wamekuwa wakiburudika na kuelimika kupitia channel mpya kabisa ndani ya DSTV inayokwenda kwa jina Africa Magic Swahili inayopatikana katika namba 127. Hivyo hutokosea ukiamua kuiita Channel 127 ya DSTV.Kama bado hujapata fursa ya kutazama Channel 127,nakushauri ufanye hivyo leo hii.
Nini kilipelekea kuanzishwa kwa Channel hiyo ambayo kila kukicha inazidi kujipatia umaarufu? Inawasaidiaje wasanii wa tasnia ya filamu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati katika kutimiza malengo yao na kupanua soko lao?Je,utaratibu wa kuingiza filamu yako katika Channel hiyo kama wewe ni muundaaji,muongozaji au msanii wa filamu ukoje?
Ili kupata majibu kwa maswali hayo na mengineyo,nilimtafuta Meneja Masoko wa DSTV-Tanzania,Furaha Samalu(pichani).Hapo chini ni maswali niliyomuuliza na majibu kutoka kwake;Fuatana nasi…
BC: Furaha,karibu sana ndani ya BC,pole na kazi.Mambo yanakwendaje?
FS : Mambo ni safi kabisa…Ahsante sana
BC : Yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuzungumzia kuhusiana na kazi yako au kazi zenu lakini kwa leo tumekutafuta ili kuzungumzia Channel 127 katika DSTV.Channel hii imeanza rasmi lini na kwanini mkaamua kuanzisha channel hii? Mchakato huo ulikwendaje?
FS : Kwanza kabisa nishukuru sana BC kwa kunipa nafasi ya kuzumza na watanzania na kuwafahamisha zaidi juu ya chaneli yetu maarufu kabisa iitwayo AFRICA MAGIC SWAHILI inayopatikana katika vifurushi vyote vya DStv kwenye chaneli number 127.Africa Magic Swahili ilianza kurushwa kwenye DStv platform tarehe 1st of July 2011 na inaonekana masaa 24 katika nchi zifuatazo Tanzania, Kenya, Uganda, Ethiopia, Rwanda, Burundi, Congo and the DRC.
DStv iliamua kuanzisha chaneli hii mahususi kabisa kwa nchi za Afica Mashariki kama sehemu pekee ya kuonyesha kazi na utamaduni wa nchi hizi…kwa kuzingatia uwezo na utajiri mkubwa katika fani ya sinema na burudani mabalimbali uliopo katika nchi hizi.

BC : Nimepitapita mitaani na kukuta watu wengi wakitizama Channel 127.Sasa huu wangu unaweza kuwa mtazamo ambao sio sahihi kwa njia moja au nyingine.Kwenu ninyi wenyewe,mpaka hivi sasa mwitikio umekuwaje?
FS : Napenda kuwashukuru sana watanzania na hasa wasanii wa fani mbali mbali kama sinema, muziki na tamthilia kwa muitikio wao mzuri sana ambao unaifanya chaneli yetu hii ya Africa Magic Swahili iendelee kukuwa siku hadi siku.
Mpaka sasa watanzania ndio tunaoongoza kwa kutuma kazi zetu kwenye chaneli hii, nchi zingine za Africa mashariki zikifuata.

Wewe,kama ilivyo kwangu na watu wengine wengi,hupenda kuutumia muda wa mwisho wa wiki(weekend) katika kutafakari mambo kadhaa ambayo yametokea katika wiki na pia kupanga mikakati kwa ajili ya wiki ijayo.Unaweza kuwaza ukiwa umepumzika na marafiki,ndugu au jamaa na pia unaweza kuwaza ukiwa peke yako.Haijalishi ulipo kwani kuwaza ni kuwaza tu.
Leo au weekend hii nakuomba uwaze kuhusu hili.Una mchango gani katika hali ambayo unaiona katika picha hiyo hapo juu?Umechangia namna gani katika kutatua tatizo hilo au kulianzisha?Unalo jambo ambalo unaweza kulifanya au ungependa nawe kuwa miongoni mwa walalamikaji tu? Inawezekana kwamba ile rushwa uliyotoa au kupokea juzi ni mchango mmojawapo katika kuanza na kukomaa kwa tatizo hili? Unayo furaha ya miaka 50 ya Uhuru wa Bara katika hali hii?
BC’s Weekend Thought:Uwe na weekend njema
From her upcoming Talk,Talk,Talk album here is the video of her single We Found Love.Is that Chris Brown in the video?


sending...
