BONGO MOVIES:JACQUELINE WOLPER’S NEW LOOK

Msanii wa filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies,Jacqueline Wolper Massawe,ana muonekano mpya kama picha zinavyoonyesha.Nini maoni yako?Amechemsha au ametoka swadakta?

Photos Courtesy of Ray The Greatest Blog

Be Sociable, Share!
 1. NANDONDE ABDALA, 20 October, 2011

  amechemka dada kaiga hadi kuweka kidole ,mdomoni

 2. Gaude Byera, 20 October, 2011

  Jamani Jacky kapendeza,as a super star hatakiwi kuzoeleka so leo hivi kesho vile n life goes on.

 3. kiondo, 21 October, 2011

  is she on drugs???? sasa ndio nini that is copy and paste

 4. Bingo, 21 October, 2011

  she is a true representation of a dropdead gorgeous woman. You are soooo hooot baby and you rock as well.

 5. Edwin, 21 October, 2011

  aise umetoka bomba ile mbaya hachana na hayo wanaoponda nani katika maisha anafanya kitu anbacho siyo cha kuiga bhana?Ymekuwa mrembo ile kinooomaa yaani we ni wa ukwex

 6. Doree, 21 October, 2011

  KWA KWELI AMEPENDEZA SANA. SHE LOOKS HAWT!

 7. Bingo, 21 October, 2011

  umetoka kuku binti…

 8. Pozi, 21 October, 2011

  jamani…! mbona wasanii wetu hakuna creativity? mpaka na mkoti koti kenye joto letu hili…au yuko majuu? kazi kweli kweli!

 9. Anny, 21 October, 2011

  Nah, copy na kupaste ishapitwa na wakati! Kamuiga AMBER ROSE kwa kila ki2.

 10. Mtoto mwema, 22 October, 2011

  hajapendeza cause kachukua utamaduni wa magharibi.

 11. Halima, 22 October, 2011

  U luk so quite mama, asietaka aache

 12. Bingo, 23 October, 2011

  Jacq nakupenda jaacq….. nami nifanyejeeeee… Kijanaaa mwenzioooo. Nashindwa na mali sina weee, ningekuoa Jaaacq.
  pesaaa zasumbua roho yanguuu…
  Will u mary me???? Pleaaase say Yeeesss!!! pleaaase…

 13. ahmada, 23 October, 2011

  okey sawa achana nao hao wanao kwambia ume copy na kupest mbona izo ndozao? tumezowea kuponda wakwetu na kufaglia wa mbele. much love juck

 14. kiondo, 25 October, 2011

  jamani kwa nini watz tunapenda sana kuiga???? mpaka inachefua roho yaani ni copy n paste ya Amber Rose, kwa nini usitoke na style yako mwenyewe, hii ni dhahiri kuwa hajikubali kama Jacqueline anaona akiwa na muonekana wa Amber Rose atakuwa bora zaidi, hii ni Kasumba inawatesa sana mabinti wa Kibongo ndio maana leo kuna JO wa bongo Kim K, Tyra Bans, Kimora wa bongo???, work hard girls kuza jina lako wewe kama ili ufike na umpite huyo anae ku inspire?

 15. christina, 25 October, 2011

  Jack umependeza ,ni vizuri kubadilika mara kwa mara usipende kuzoeleka,
  Big up my girl,and always fanya kitu unachokipenda usisikilize sana maneno ya watu.

  Regards.

 16. kiondo, 25 October, 2011

  hakuna anaesifia wa nje especially anapokuwa mtu kama Amber Rose hana sifa nzuri katika jamii na katu mtu asingependa kuvaa uhusika wake. sasa leo Jacline amuuige Ambaer Rose halafu tusifi e kwa sababu ni wa kwetu??? no way acheni kusifia ujinga. na ni kwa nini lazima tuige na kuukumbatia umagharibi na watu waone ndio maendeleo? watanzania hebu tuamke. kwa wale wanobisha hili hebu tumuombe muandishi hapa atuwekee picha ya Amber Rose kama alivyofanya Hatman blog the mtueleze kama Jack kaiga au hakuiga. on top of that na joto lote hili la bongo na lether jacket yaaaak.

 17. zeu, 27 October, 2011

  mh dada kapendeza

 18. irene, 27 October, 2011

  jamani kapendeza, nani haigi?

 19. women of christ.word press, 27 October, 2011

  HAPO KWELI MAMBO BYEEEE!

  HATA MAMBO YENYEWE SI HABA. PESA IKO.

  WIVU SINA SISTER KWELI KAPUNA.

 20. muga raymond, 27 October, 2011

  Kapendeza sana tu, lakini kaiga, lol.

 21. Cityboy, 29 October, 2011

  Jacq, ninakuomba nilale na wewe kwa usiku mmoja tu, kwa hisani yako

 22. Shazmeen Karim, 29 October, 2011

  hey funz..i like the swagger on walper banah!!!!!al the best jacky…

 23. rucris, 29 October, 2011

  uko pouwa best jacq..!upo kikazi zaidi napenda sana life style yako..hautaki shobo kama wasanii wengne!tz me born 2 beauty.!

 24. fatma mngereza, 30 October, 2011

  yaani jack umependeza upo very mwaaaaaah yaani uzuri wako pia unachangia utoke mwaaaaaaaaaaaaah asiyekusifia analake hayo…………………all the best jacy..

 25. bmhina@2011, 30 October, 2011

  KUTOKA KWA MHARIRI WENYU:
  e bana Jacq ucckie ya kuambiwa unajua pnapostyle cfa acha cfa zimwagike na kwny makosa acha pakosolewe kiukwel wewe ni mzuri ile mbaya lkn c unajua tena kati ya watu mia lazm kutakua na wanaokufagilia na wale ambao hawakufagilii, na ndo mana hata kwny xoka kuna upinzan na bila kuwekewa upinzn huwez kucompete kwa hy wanaoponda waponde ili chat yako izd kupanda ama kwa hkika aclimia 98 ya watz wanakukubali hz mbili tuwaachie hao wshamba wacojua kwnd na wakt we endelea ku2pa ladha na cc tupo pamoja na wewe….! MORE OVER..UR XO BEAUTY BABY GIRL…..BIG UP XAAAANAA……!!

 26. Toni, 30 October, 2011

  jack..u look hott..no offense but its ur life…do wat u want..kama ume copy na ku paste..everyone does it..so do wat makes u happy, not wat makes others happy..bcz no matta wat u do..haters will always b waitn to bring u down…

 27. Jane Juma, 31 October, 2011

  Jack:u look so nicely, keep it up,an I love you
  with you’re mapooooooozi…,but we should be care with HIV.
  Nice day ma sister.
  Love you.

 28. zeu, 02 November, 2011

  jaman mbona mwadai kaiga hata rais nae anaiga sera kutoka sehemu mbalimbali kapendeza mpeni sifa zake dada u look maverlaz knyama asietaka alie anawaka dada

 29. Jane musa, 02 November, 2011

  I do know what im gonna talking now.in reality jack,your very beautiful more than the word beauty.kiukwel anayekuponda!?

 30. brian, 03 November, 2011

  hii ndo rangi ya ngozi yake au? naona kama imebadiika kidogo…

 31. scholasticasylvester, 10 January, 2012

  umependza xana loly,,,,,,,

 32. VERONICA C MGETTA, 14 January, 2012

  Umependeza mrembo and i love your style…we ni mdogo wangu acha nikushauri punguza kujichubua.. have a lovely night dear.

 33. kelvinlucas, 19 January, 2012

  Acha wa seme ww n mzuri mwya we jacky yaani u xo mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

 34. Renatus Bamuhiga, 25 January, 2012

  Waoooo! Jacq amependeza ile mbaya! She so qiuty! She so biutful! she so mwaaa! Big up mamy.

 35. hans, 03 February, 2012

  kiukweli kapendeza ila kaiga mwanzo mwisho ila msimlaum mwambien kapendeza si ndo anavyotaka!maana hajiamin alivyo mpaka aige wasanii wa nje!mbona wenzie hawaigi kivilee lakin wa2bado wanawapenda?ye vp?ngoja nimsifu ili afurah haya WOLPER UMEPENDEZA!

 36. winmimah bentravelz, 14 March, 2012

  u luk xo mwaah bebe gal…….i lyk yo swaggz…..u roooockooooo lyk bj chick!!!!!!!!keep t up…….

 37. isabela, 30 March, 2012

  kwakweri umpendeza

 38. kagashani k, 04 April, 2012

  we ni chizi tu acha kuiga.

 39. angel michael, 09 April, 2012

  umependeza mwaya achana nao wacopenda maendeleo yako upo juu mama big up.

 40. Pendo Stephen, 08 May, 2012

  Jack nakupenda sana, umependezqa sana tena sana, nakuomba usisikilize maneno ya watu kwa sababu hawapendi maendeleo yako. nakuombea mungu azidi kuku afya na zaidi ukubalike popote utakapopita. asante love you

  by pendo

 41. victoria leonard, 13 May, 2012

  kiukweli umependeza tena sana mama big up!!!!

 42. Baraka mbua, 17 May, 2012

  unatisha dada jac

 43. dogo messi, 03 June, 2012

  ametokelezea lakn angemalizia kuvua nguo zote za juu angeuza zaidi couse zinamtia joto. manak hiz nguo wanavaa ulaya kweny barid

 44. Nati, 05 June, 2012

  You look Mwaaaa! Jackie

 45. helen, 06 June, 2012

  jack umependeza bwana hao wanaosema haujapendeza umeiga hawana swaga coz wameiga hyo stail wakashindwa bwana so be cul mami

 46. NYAKI, 07 June, 2012

  DAAAAAAAAAAA KIUKWEL CCTA KATOKELEZEA

 47. Rick, 14 June, 2012

  Wapuuz xana wanaoxema ume copy na ku paste!hzo zote n chuk2 hawana lolote,hv dada jack unafkr wa2 wote wanaweza penda ukfanyacho?wengne huwa wanafk ndo kama hao wanaoponda achana nao my dia.nakukubal xana mchuchu wang mmwaaaah.kimbza mbaya mbovu mchuchu.

 48. John, 15 June, 2012

  Jacky wa ukweli kabisaaaaaaaaaaa

 49. wales, 04 July, 2012

  ua so beaty girl

 50. JAMES, 06 July, 2012

  UMETOKELEZEA

 51. james, 08 July, 2012

  yani we hacha 2 jack kapendeza sanaaa…!,we mkali my dada.big up

 52. RUKIA, 11 July, 2012

  umependeza ile mbayaaaaaaaaaaaa

 53. fatma, 11 July, 2012

  uko njema mno ka mnjungu

 54. jackson makwaya, 15 July, 2012

  Umetisha maningi nice

 55. isaac mbwambo, 28 August, 2012

  uko poa sana.

 56. omary haruna, 10 September, 2012

  dada yang umependeza kinoma yani we mkali . Wanao kupinga wana yao tu unaweza l love so much

 57. angelus mchuma, 12 October, 2012

  ni vizur 2kajivunia famous people of our own hapa yupo jack kama jack wa bongo na sio amber rose mtu kuvaa koti hata kama ni la chuma achilia mbali lether inategemea na mahali alipo 2siwe na fikra moja tu ya joto la dar kisa 2naishi dar but kuna mikoa yny brd mf mbeya,arusha na hata mara so wote hatujui picha kaipigia wapi ila jack mwnyw ndo ajuae…jack surely umetokelezea vya ukweli keep it up c*.

 58. Bituni, 21 October, 2012

  U luk nyc

 59. king lavi, 01 November, 2012

  hi bongo ningependa kujiunga na bongo movie. sijuwi kama naweza pata nafasi? mimependa sana movie zena na ningeona raha nikawa nimejiunga na nynyi. niombi tu au munaweza nipa ushauri gani kuhusu kujiunga na bongo movie. unaweza wasiliyana na mimi kupitia email yangu au nitafute kwa facebook. lukmixer87@gmail.com thank all

 60. MOHAMED HARTHY, 07 November, 2012

  jack. wewe ni mwanamke mzuri. dayma nakupenda ukawa pamoja na jb film itapenwa sana kwa huku tunapokaa muhim kwako stop kunywa kinwaji chochote kinacholewesha na jiangalie body yako itapotea.vp nitapata number yako ya simu kama kuna kitu nataka kukwamia

  mohammed

 61. NEYLICIOUS, 09 November, 2012

  UMEPENDEZA SANA WOLPER,WANAOPONDA ACHA WAPONDE MAANA MDOMO MALI YAO,BIG UP CUTE N LOVE U MUCH,UPO JUU KAMA OBAMA

 62. barke, 23 November, 2012

  u look good mummy

 63. Emmy, 23 November, 2012

  umependeza dada angu co siri. u are so beautiful my lovely sister. keep up mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmwaaaaaaaaaaa.

 64. j.c, 07 December, 2012

  mummy achana na watu maana kubwa ya kuwa msanii ni mbunifu wa kipekee na ww jina lako ni jack msanii achana na watu km ungekua huna mchumba basi ningekupa kakangu big up wol!!!!!!!!!

 65. SPENCER DALLAZ, 08 December, 2012

  Umependeza sanan dada.

 66. flavian, 14 December, 2012

  sura nzuri sema tu tatizo watanzania wengi atujiamini tunapenda kuiga, sijafagilia ata kidogo njwele zako zaid tambue we nimtanzania dumisha tamaduni zako.

 67. gasper, 19 December, 2012

  Nice jackline,hata katika movies ulizoshiri ulifanya vizuri.so keep it up

 68. stella, 29 January, 2013

  we n mkali hata watu wasemaje we utabak kuwa juu

 69. Majey .a.kasyupa, 30 January, 2013

  Duu dada u luk co smart’ but ingekua poa zaidi ungestay as jack nd amber

 70. phina, 07 February, 2013

  you are so amazing, nakukubali sana jacky unatingisha

 71. Big uncle Z, 25 February, 2013

  Mwanamke nywele,kwanini Jack aweivo.aachd nywele awekama Mwanamke.ivo yupoyupo tu.

 72. kurthum, 19 March, 2013

  u luk xo cute bhana…..waache wakuchukie tu maana hawakuwezi…..mwaaaaaa……

 73. anith, 24 March, 2013

  umetokelezea

 74. SHOO, 29 June, 2013

  SAFI MDADA

 75. neema, 04 August, 2013

  looking beauriful.me i like u oooo!

 76. winfrida, 06 August, 2013

  U’r xo cute J

 77. goodluck, 17 November, 2013

  Dada kama uzuri ni mzuri ungekuwa age yangu ningejaribu bahati yangu

Copyright © BongoCelebrity