Watanzania wengi wanamkumbuka Lil Kim.Pengine sio kwa sababu ya muziki tu bali jinsi alivyowahi kutua Bongo na kujiachia vilivyo na mashabiki pale Viwanja vya Posta na alivyokwenda sambamba na Juma Kassim Nature.Uki-google Lil Kim in Tanzania unaweza kuona mengi zaidi.

Sasa hivi sasa Lil Kim anajiandaa kuachia EP yake hapo mwakani.Majuzi kaachia picha kadhaa kwa ajili ya kuanza kupromote hiyo EP mpya.Pichani juu ndio anavyoonekana,miguu wazi na nywele ni ndefu-blonde.Unasemaje kuhusu muonekano huu wa Lil Kim?You feelin’ it?

 

Black Rhino au Black Chata,bila shaka bado walikumbuka na kulitambua jina hilo.Nimeanza kwa kusema kwamba bila shaka walikumbuka kwa sababu kwa muda kiasi Black Rhino au jina halisi Nicholaus Haule alikuwa kimya kidogo katika masuala ya muziki.Mwenyewe anasema maisha ilibidi ayaelekezee kwingine kidogo.Akaenda chuoni na kupata wakti wa kuvaa lile joho(la shule ya wakubwa na sio chekechea) na kisha baada ya hapo akaanza “mzigo” kama watu wengine. Kukaa kwake kimya kukatafsiriwa na watu wengine kwamba ndio amekacha muziki au muziki umemkacha.Hapana! He is back and doing what he knows best;good music. Na mara hii,pamoja na elimu aliyonayo,bila shaka hata soko la muziki atakuwa analiangalia tofauti. Juu ya yote,Black Rhino anathibitisha kwamba ukitoka kwenye familia ya muziki,basi muziki kamwe haukuachi na wewe huna jinsi bali kwenda nao sambasamba.Majina mengine kutoka katika familia yake ni kama vile The Heavy Weight MC,Professor Jay,Kolihombi,Simple X na Mr.Teacher.

Wimbo unaitwa Taking Ova.Umetengenezwa pale Dhahabu Records chini ya Producer anayekuja juu sana anayekwenda kwa jina Mbezi.Sikiliza Taking Ova hapa chini;

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

 

Nimefungua e-mail yangu leo na kukutana na salamu maalum ikiambatana na zawadi.Ni kutoka kwa msanii anayekwenda kwa jina Titus.Kwangu mimi Titus ni msanii mpya kabisa.Sijawahi kumsiki

 

a hapo kabla.Haijalishi.Ameambatanisha ujumbe ntakaouweka hapo chini punde.Anasema hii ni zawadi kwa sababu leo ni Boxing Day.Bila shaka kama wewe nawe hukuwa na cha “kufungua” hii hapa ni zawadi nzuri.

 

 

HABARI ZENU WADAU WA MZIKI HUU NASHUKURU MUNG

U TUMESHEREKEA XMASS KWA
FURAHA NAUPENDO INGAWA NDUGU ZETU WA DAR,WAPO KWENYE MATATIZO
YAMAFURIKO TUSICHOKE KUWAPA MSAADA WA HAINA YEYOTE ATA KWAKUTUMA SMS
KAMA UKO MBALI NA DAR.

Leo ikiwa siku ya Boxnday napenda Niwape zawadi

ya wimbo wangu huu mpya unaoitwa YESU ANAKUJA.Nimeshirikiana na SILVA
Pamoja na CHEPE MC.Naimani mtaupenda namtaufurahia.

 

Usikilize hapo chini

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

 

 

Hii hapa chini ni video mpya kutoka kwa Dayna akiwa amemshirikisha Barnaba katika wimbo Nivute Kwako.Video imetengenezwa na Adam Juma pale Visual Lab(NextLevel) huku audio ikiwa ni kutoka pale Burn Records kwa Sheddy Clever.

Naomba itazame kisha uniambie kama umeweza kupatambua hapo kwenye maporomoko au maji.One of the best from Adam Juma in my opinion.Loved it.

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Janet Jackson,not only a sister of the late Michael Jackson but a diva of her own make.How does she stay in shape? In case you have been asking yourself the same question, for the first time she shares her tips in a television commercial for Nutrisystem. I thought you could get one or two so I am gonna share the commercial with you below.I understand with the new year looming, one of your resolution could be to stay in shape.Goodluck

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Kutoka katika album yake ya sita inayokwenda kwa jina Talk That Talk,Rihanna anawapa mashabiki wake zawadi ya Xmas kwa kutoa video ya wimbo You Da One.Itazame hapa chini

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Kama kuna kiongozi ambaye amevuta hisia za watu wengi wakati huu wa misukosuko ya mafuriko  basi kiongozi huyo ni Mbunge wa Mafia-Mkoani Pwani,Abdulkarim Shah. Naacha hizi picha ziongee

MBUNGE wa Mafia, mkoani Pwani-CCM,Abdulkarim Shah, akiwa kwenye boti, aliyoikodi kutokana na kupigiwa simu msamaria mwema kwa ajili kusaidia kuokoa wananchi wa maeneo hayo, akitoa maelekezo kwa nahodha ni sehemu gani ya kupita wakati alipokuwa akishiriki katika kuwaokoa wananchi hao,waliokumbwa na mafuriko.

Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah, akimpokea mtoto aliyekuwa amehifadhiwa juu ya paa la nyumba, pamoja na msichana mmoja wa nje ya nchi, aliyejitambulisha kwa jina la Janne Borold, aliyekuwa naye sambamba katika kusaidia kuwaokoa wananchi hao.Picha na Kassim Mbarouk

Here is the brand new video from Fareed Kubanda aka Fid Q.The song is titled Ielewe Mitaa which in English could easily be translated into Understand The Streets or Know The Hood.

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Read the Next Page →

↑ Go Back to Top of Page