ALI KIBA Vs DIAMOND: NANI ZAIDI?

Swali kwenye kichwa cha habari linajieleza. Nani zaidi kati ya Ali Kiba na Diamond? Tunaposema zaidi tuangalie mambo kadhaa; muziki,uimbaji,umiliki wa jukwaa,management (kwa maana jinsi msanii anavyojiongoza au kuongozwa na yeyote aliye nyuma yake), mafanikio ndani na nje ya nchi, likability yaani jinsi anavyokubalika au hata kujikubali yeye mwenyewe.Hapo tunaweza kuongeza muonekano…msanii hana budi kujiweka vizuri..ni kioo. nk nk

Jambo Zuri # Wote wanatoka Tanzania na sio Kenya wala Uganda!

 1. alexis, 02 October, 2014

  i know exactly ali-kiba is better than diamond 100/c

 2. alexis, 02 October, 2014

  no flex ali-kiba for real is better shine evere week but than diamond is youngkid…

 3. Avinashabdallah, 07 October, 2014

  Kiba sina usemi kwani d kaja juu lakini kumbukeni hata mr nic alikuja juu kuliko ote leo yuko wap lakini mtambue taratibu ndo mwendo na sikendo sio kila mtu anapenda nanyimbo za daimond zo anapendwa na wanawake kila ki2 kiba bwana bgp ally

 4. Emmanuel Paschal, 10 October, 2014

  Bigup sana Ally Kiba yuko juu knoma yaan, sio diamond nyimbo zke anabez sana kwny mpnz.diamondamwezi Kiba ni noma

 5. Ahmedas, 13 November, 2014

  Ali k 4 Realy hana pingamizi TZ hakuna diamond wala nani …..Cikiza hand across the wouid anavyochana mistar na muondoko mzur wa singo

 6. Odax, 02 December, 2014

  Alikiba noma

 7. kizzle, 04 December, 2014

  alikiba is the best diamond audio hazihiti anasubilia afidishie kwenye video itaga seminary

 8. rama, 07 December, 2014

  Japokua Diamond ako ana hit sasaivi ila sio wa kumfananisha na Ali kiba. Ali ni mzazi wa Diamond kimuziki.

 9. jhambazy, 07 December, 2014

  Ally kiba noma

 10. diamond, 24 December, 2014

  unapost ujinga wkt hamjaelewa instruction, acheni ushabiki angalieni criteria zilizotajwa,hakuna hata moja ambayo alikiba anazo, think critically and logically b4 posting. najua mnampenda diamond by heart ila mnachukia mafanikio yake.

 11. samson, 26 December, 2014

  acha kudharau maoni ya wenzako ww km diamond kakuoa ni ww let ppl get more flavour 4rm kibaaaa

 12. hermany lui, 01 January, 2015

  Ali kiba habari nyingine aysee diamond lands azaliwe tena uuuuuuupya may be bt kiba is untouchable aysee….

 13. hermany lui, 01 January, 2015

  Japo criterias zmetengenezwa kumbeba diamond nt watu wametenda haki,tunaangalia uwezo WA mtu kuimba habari ya mafanikio n kiti kingone siyo hoja ua kumganya msanii aonekane bora,ishu Ni kipaji na katika Hilo diamond anasubiri mbali saaaaaana cuz alikiba si mtu WA lawaida,goodmirning.

 14. GEOFFREY MUTINDA, 03 January, 2015

  Alikiba ndiye kusema,m2 mwenye heshima zake, na anajielewa,4 real, he is unstopable..from kenya

 15. Kella, 20 January, 2015

  Alikiba ameivaaa … Diamond bado hajakomaa kimuziki but Alikiba nyimbo zake, stage representation, message, wow!!! for Kenya

 16. vita blue kenya, 24 January, 2015

  I do respect ali kiba 4 real. 1st, that guy is so mature and he knows what is meant by being an artiste. leave alone the other guy, (sijui mmemuitaje thou kuna kitu Kama letter d kwa jina lake) who thinks that being an artiste is all about ucelebrity without knowing that msanii ni kioo cha jamii and the society is ever awake watching out. 2nd ali kiba is a flow changer and you always get a new sweet taste and flavour each and every time you listen to his new song. uyo mwingine si mnajua tu vile ngoma zake ukiskiza unakaa tu mtu ameishi kula skuma wiki from Monday to Sunday? niendelee?? 3rd ali kiba has a very strong and strategised messages in his songs, ata akiimba mapenzi utaskiza mafunzo out of it. uyo mwingine(nimesahau ata jina lake) sijui ata ni mapenzi ya aina gani ameishi kuimba yenye hajaai tosheka nayo. even appearance, 4 real ali k ata akitolewa mavazi ya kiusanii bado anabakia wa kutamanika. hebu uyo mwingine afanyiwe ivo Kama haitabakia tu kikapu cha mdomo pekee kwa uso. niendelee????……

 17. saburina, 28 January, 2015

  diamond yupo juu sanaaaa!

 18. saburina, 28 January, 2015

  chezea diamond we achana na diamond

 19. asella, 28 January, 2015

  diamond mkali

 20. asella, 28 January, 2015

  diamond ni moto

 21. asella, 28 January, 2015

  achana na diamond

 22. abduli, 10 March, 2015

  diamond unatisha tanzania unafanya mziki wetu ujulikani,

 23. abduli, 10 March, 2015

  diamond unafanya mziki wa tanzania uwe ju hongera

 24. asella, 12 March, 2015

  diamond yuko juu sana

 25. saburina, 12 March, 2015

  diamond noma anamiliki jukwaa, anajulikana kila kona

 26. saburina, 12 March, 2015

  diamondi anatisha Alikiba sauti ya Wanawake ndo inawazengua nini?

 27. Maflow DG, 13 March, 2015

  Ali K for real, wakuace, wewe mkali

 28. blessed, 24 March, 2015

  alikiba 4 real hana maringo na ana ngoma xmart

 29. jaox, 26 March, 2015

  alikiba ni mnoma zaidi………..songs zake zinavutia zaidi………namkubali sana….maana ya mziki ni ujumbe na ushirikano nzuri zaidi……..siri ya kuimba ni kujiheshimu na kukuza wengine kwenye production…..uwalimu zaidi…ali mwnyewe asilinganishwe na msanii yeyote

 30. julius, 15 April, 2015

  alikiba 4 real ako top

 31. victa michael, 02 May, 2015

  diamond anazidiwa na matonya achana na alikiba

 32. victa michael, 02 May, 2015

  diamond ni nouwmar ww

 33. calibrinz vinnie, 28 May, 2015

  alikeiyo ndo mkali, mzazi, sauti poa na amekomaa. hakuna song ya platz imehit kaa ya keiyo. AK uko juu end soon am doing a collabo with you.

 34. gnelder kamau, 22 July, 2015

  mengi yamesemwa jamani but kwa maoni yangu diamond hampati ALI KIBA ata kidogo…kisauti Ali yuko far top,ki sura bado Ali,msg na utamu wa singles still toppin na pia Kenya twamuenzi kama mwenzetu sababu kuwa ni msanii wakueleweka kwa diamond tuseme videos pekee ndo amtoa Ali but hilo si hoja Ali akiweza anaeza fika hio level pia.. plus diamond alianza viema ila baada ya ku hit ali loose originality n diamond wa sasa ni kama simtanzania tena mbali mnigeria wannabe n jus bcoz he did a song wit useless senseless davido hilo halitoshi kumtoa alikiba…ALIKIBA ALL THE WAY LEGEND ALREADY.. usishtushwe kwa jina diamond KENYANS BEHIDE YOU

 35. belinda, 12 October, 2015

  ali kiba

 36. Hcteko Seraf, 02 February, 2016

  Vipi mwamulinganisha Diamond Ma Ali K Diamond ako juu luk at song lyrics,work prentantion.dancing wealth,swag na mengi Diamond Ako Juu

 37. Akala Sammy, 18 March, 2016

  Alikiba ako juu Tu sana

 38. Terry Ndegwa, 15 April, 2016

  Ali Kiba is the guy. cheki tu comments hapa utaona ana supporters wengi. Talent yake ni noma,sauti anayo pia kimaumbile ako juu. He is very humble. We Kenyans Love Ali Kiba. Kamau you are very right I concur with you. ALI K hoyeeeeee……

 39. james prosper, 23 June, 2016

  diamond planumze ni shida

 40. eliac yoram, 10 July, 2016

  jaman diamond nisheeedah, alkib atasubr sana, alaf hapo ndipo mnakosea mnapomfananisha d’mo na huyu undergound kiba.

 41. katoto filbert, 30 September, 2016

  alikiba juu baba anatisha wakubwa

 42. Ivy Joy, 28 October, 2016

  Alikiba yuko juu achana na dia wateva mm hupenda mtu humble kaa kiba diaa Ni kieleelee Tu na mdomo mingi #biguptoukiba

Copyright © Bongo Celebrity