“USINITESE”-KEETU

Akiwa jukwaani anapenda umuite Keetu.Jina lake kamili ni Gladys Muthue. Huyu ni mwanamuziki mchanga ambaye hapo awali alikuwa akifanyia kazi zake jijini Nairobi nchini Kenya kabla hajaamua kuhamishia shughuli zake jijini Dar-es-salaam alipo hivi sasa. Mbali na muziki,Keetu pia ni muigizaji,mcheza dansi na mjasiriamali.

Huu hapa ni wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina Usinitese.

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.


 

  1. PJ, 17 November, 2012

    Cool stuff. Keep up Keetu

Copyright © Bongo Celebrity