NDOA YANGU…FILAMU YA MWISHO YA STEVEN KANUMBA

Juu hapo ni cover ya filamu mpya ya Marehemu Steven Charles Kanumba. Inasambazwa na Steps Entertainment.One of the films I’d like to watch.

  1. salumu, 26 September, 2012

    Hi!
    Sijuwi nisemê nini ni ache nini.Iyi kweli ama mnataka kutuchanganya?Kafufuka ama …yamekua aje?Suis ému!sorry kwakuchanganya lugha sio mimi nifuraha pya raha yakuona tena utaramu wa uyo kaka.

  2. GEREMIAH PASTORY, 30 September, 2015

    Kanumba alikuwa ni star wa kwanza tz kwa bongo movi

Copyright © Bongo Celebrity