Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wasanii Professor Jay(kushoto) na Mzee Yusuph(kulia).Watatu hao walikutana hivi karibuni katika mkutano wa Watanzania Waishio Canada(Tanzania Diaspora Conference) uliofanyika jijini Edmonton,Alberta nchini Canada.
Professor Jay na Mzee Yusuph walialikwa kutumbuiza katika mkutano huo ambao umetajwa na wengi waliohudhuria kuwa uliokuwa na mafanikio.
Feedback / Comments
One Response to “SMILE WITH MR.PRESIDENT”
Leave a Reply




sending...

Hapo nimejifunza kitu, RAISI WA NCHI, RAISI KWA KURAP, NA RAISI WA TAARABU! Hebu angalia afya zao! Tungetakiwa awepo angalau `mlalahoi mmoja, awakilishe `undergraund’ NI WAZO TU