Nimeipenda picha hii. Nimeitoa pale kwa Brother Lukwangule. Mimi,ingawa watoto hawa ni wa jinsia tofauti na yangu,inanikumbusha enzi zile nilipoanza kuitafuta elimu.Ajabu ni kwamba mpaka hii leo bado naisaka. Kweli aliyesema Elimu Haina Mwisho hakukosea. Wewe picha hii inakukumbusha nini? Wapi?
Feedback / Comments
Leave a Reply




sending...
