Ubishi hauwezi kuwa na maana sana kama hatutokubaliana kwamba kwa upande wa Tanzania,Diamond ndio msanii ambaye yupo juu zaidi katika charts. Sababu zipo nyingi na sidhani kama kuna haja ya kuziainisha hapa kwa leo.
Ili kuendelea kubakia juu,ni muhimu kutoa vitu vipya.Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Diamond na wa kwanza kuuachia tangu atangaze kuwa na management mpya inayoongozwa na mpiga picha maarufu,Raqey. Wimbo unaitwa Nataka Kulewa na umefanyiwa AM Records ambayo ni studio iliyobeba tuzo ya Kili Music Award. Huu hapa
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Feedback / Comments
12 Responses to ““NATAKA KULEWA”-DIAMOND (BRAND NEW TRACK)”
Leave a Reply




sending...

The guy is good! lakini hakuna haja ya kulewa, we ongea naye tu atakuelewa:)
wimbo mzuri sana kama kawaida yake diamond lakini ndo hivyo tena, haijatofautiana na zile za zamani…kapita mule mule
huyu ni muathirika wa Wema. kila nyimbo ni lazima umguse. wataalamu wa saikologia watathibitisha hilo kwani wewe ndio umekuwa muongeaji mkuu all the time kupitia nyimbo, media na magazeti,so usilewe sema nae tell her how you feel. na kama si penzi basi ni defensive mechanism ili watu wakuone huruma uone umeonewa.
Boss know you want to spoil you self by drinking.you don`t suit to drink.wajua kuwa mgema akisifiwa tembo ulijaza maji.be who you are.
yaaa very tru no diff anatamani kulewa au angekuwa na uwezo angekunywa pombe.
diamond kwanza nampa bigapu kwa vesi zake ila kwenye bt haja leta ladha maana kaleta ile ya pasha na c anaju mziki beat
KUL SONG DIAMOND…. LETS GET IN TOUCH I WANT TO FEATURE U IN MY FIRST SONG… 0222650422 KINDLY GET IN TOUCH WITH ME….
Wimbo mzuri DML, pole sana kwa gonjwa la mapenzi chezea wote ila Wema kiboko yao – lol
U r tha best.
wewe mtoto wa kimanyema uko juu tu saaaaana! bravo
sitaki kukuzengua ndo manake sitakuuliza kwanini kwa yale usemayo kama nikunywa kunywa bora unazo cheda lewa kabsaa hadi zipande ndo uZimwage…
da kweli haya mapenzi sio usiniulze kwanini.
diomond hatari sana.