“MY EVERYTHING”-ALI KIBA (BrAnD NeW)

Hii hapa ni mpya kutoka kwa Ali Kiba…inaitwa My Everything. Usikilize hapa na kisha kama unapenda lyrics,hizo hapo chini.

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.


My Everything – Alikiba
Verse 1
Ilikua usiku wa jana asubuhi Nilipoamka…. Nikajikuta Nafuraha isio kifani….
Kidogo nilishtuka, Simu ilivyoitaa….. Niliipokea nikasikia analia….
Akashindwa hata kuongea…… Nikahisi msiba ndio umemfikaa…
Akauliza Umelala? Ooh Baby nalia na mola….. Nishateswa Sana na Penzi Nakosa Hata Raha….
Nahisi vibaya naona Nakupenda Sana…………..

(Chorus)


Ooooobaiby u My Everything My Everything
Kila Nachofanya Kwa Ajili Yako My Everything
Hata Kama Mi Sina You My Everything My Everything
Kupendana Kwa Sana u my Everything My Everything
(Wololowololo) U My everything my everything
( “. ” ) My Everything….. My Everything
( “. ” ) U My Everything….. My Everything
( “. ” ) U My Everything….. My Everything
( “. ” ) Hey u My Everything…..

Verse 2
Kweli anavyojiona kama yuko paradise……. Anasikia raaaha mwili wake nikimshika……
Haitaji stress tena anataka tu furaha…… Nami mwendo uleule staki mwangushaa….
Maumivu atakitenaa…………. Ooooh baby utojuta kuupenda……
Hata mimi mapenzi oooh baby yashanitesa sana…… We lia na mola walimwengu akileta husda..
Mchana na lala usiku nafanya ibada…..

(Chorus)
OOoooobaiby U My Everything….. My Everything
Kila nnachofanya kwaajili yako….. My Everything
Hata Kama Mi Sina…. U My Everything My Everything
Kupendana Kwa Sana….. U My Everything….. My Everything
(Ooooohhhoo) U My Everything….. My Everything
( “. ” ) My Everything….. My Everything
( “. ” ) U My Everything….. My Everything
( “. ” ) U My Everything….. My Everything
( “. ” ) Hey U My Everything….. My Everythng…..
( “. ” ) U My Everything….. La Muja De Mivida
( “. ” ) We nikila kituu…
( “. ” ) Ooooou woowaaauaaa….. My Everything
( “. ” )Hey U My Everything….. My Everything
(Wololowololo) Wolo….. (Wololowololo) Woloho
(Wololowololo) Wolo….. (Wololowololo) Woloho
(Wololowololo) Wolo…..

 

 1. emu-three, 14 November, 2012

  Oooh Baby u’a everything….tololotolooo,

  Twashukuru mkuu, tumeupata, swasubiri album, au video yake!

 2. milano, 20 November, 2012

  Nice sana

 3. milano, 20 November, 2012

  upo juu saa

 4. Li, 28 November, 2012

  Kama kawa Ally amaliza ubishi,the best in EA!

 5. pintone sboy, 09 May, 2013

  mi nasema tena na tena wewe ndiye kiboko yao papiree.

Copyright © Bongo Celebrity