Mwenyekiti wa CCM(Taifa)- Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Baada ya heka heka kibao pale Dodoma,hatimaye hii ndio tunaweza kusema ni Team CCM. Una maoni gani kuhusiana na timu au uongozi huu wa Chama kinachotawala nchini Tanzania? Inakupa matumaini ya kutatua matatizo sugu yanayoikabili Tanzania na kuchukua mwelekeo mpya kutoka katika siasa za kupambana majukwaani na kupitia vyombo vya habari na badala yake kugeukia zaidi matatizo yanayowakabili wananchi pamoja na kutimiza Ilani ya uchaguzi uliokiweka chama hiki madarakani? Haya ndio majina na nafasi wanazoshikilia.
Mwenyekiti(Taifa)- Jakaya Mrisho Kikwete
Makamu Mwenyekiti(Bara)-Phillip Mangula
Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)- Dr.Ali Mohammed Shein
Katibu Mkuu(Taifa)- Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu Mkuu(Bara)- Mwigulu Nchemba
Naibu Katibu Mkuu(Zanzibar)- Vuai Ali Vuai
Katibu wa Itikadi na Uenezi- Nnape Nnauye
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa- Dr.Asha-Rose Migiro
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha- Zakia Meghji
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Muhamed Seif Khatib
Photos Credit:Bashir Nkoromo
Feedback / Comments
4 Responses to “TEAM CCM: TUMAINI JIPYA AU…?”
Leave a Reply




sending...


wamejifunza sasa tunaitaji muelekeo mpya
Hamna lolote jipya.2015 CHADEMA
Ukiona chama kinaanza kuwarudisha watu waliokuwa wamestaafu kama Mangula ujue kwishney.Sas Mangula atakuwa na lipi jipya?CCM safari ndio imewadia
hakuna chama tegemezi zaid ya chadema.