“WE WILL ALWAYS LOVE YOU: A GRAMMY SALUTE TO WHITNEY HOUSTON”

Usiku wa jana kituo cha televisheni cha CBS cha nchini Marekani kilirusha takribani saa nzima ya kipindi kilichoitwa “We Will Always Love You: A GRAMMY Salute to Whitney Houston” ambapo baadhi ya waimbaji,waigizaji na watu wenye majina makubwa katika sanaa walijumuika na ndugu,jamaa na marafiki wa Marehemu Whitney Houston katika kumkumbuka na kumpa heshima ya kipekee superstar huyo.

Miongoni mwa performers na presenters wa usiku huo walikuwa ni pamoja na Halle Berry, Britney Spears,Taraji P.Henson,Clive Davis(mentor na meneja wake wa muda mrefu),LL Cool J, Usher, CeCe Winans, Celine Dion,Yolanda Adams huku pembeni yao akishuhudia na kuongoza wanandugu alikuwa ni Bobbi Kristina mtoto wa Whitney aliyezaa na mumewe za zamani,Bobby Brown. Hizi hapa ni baadhi ya video kutoka kwenye onyesho hilo;

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity