MKASI ONE YEAR SPECIAL: BEHIND THE SCENE CLIPS,ORGANIZATION AND INTERVIEWS

Ni wazi kwamba kipindi cha MkasiĀ  ni miongoni mwa vipindi vinavyopendwa na kutizamwa na wengi. Ni kipindi ambacho kwa namna ya tofauti kimeweza kuteka hisia za wapenzi wa vipindi vya luninga sio tu nchini Tanzania bali pia katika sehemu zingine za dunia kupitia mtandaoni nk.

Hivi karibuni,kipindi hicho kilitimiza mwaka mmoja tangu kianze! Nimeweka alama ya mshangao kwa sababu naona kama ni majuzi tu kimeanza.Hii hapa ni Mkasi Special. Endapo uliwahi kutaka kujua watu na wahusika wa kipindi hiki waliopo nyuma ya pazia,basi nafasi yako ndio hii

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity