“SKIBOBO”- GOLDIE HARVEY Feat.AY

Huu hapa ni ushirikiano wa Goldie Harvey na AY. Bila shaka wafahamu kwamba Goldie Harvey ambaye jina lake ni Susan Oluwabimpe kutoka Nigeria na “shemeji” yetu kutoka kwa watani wa Jadi, hivi sasa anajaribu kupanua soko lake Afrika Mashariki. Wimbo unaitwa Skibobo na kweli una mahadhi ya Skibobo…hivi si inawezekana Skibobo ikawa kama kishtobe au? Nafurahisha genge lakini well, Skibobo imenifanya nikumbuke enzi zile tulizotumia neno Kishtobe…

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

 

 

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity