FOR PRESIDENT 2015: EDWARD LOWASSA /YES Or NO

 1. ramadhani, 16 November, 2014

  hofu yangu ni ccm kutompa nafasi yakugombea kama raisi bt ni shupavu and natama apate nafasi

 2. miriam, 19 December, 2014

  Big no. He is too much of a thief and corruption and vendalising of public resources will be worst if he gets into power.

 3. YONA, 23 December, 2014

  tuko pamoja sana

 4. Jonathan, 29 December, 2014

  Yes Lowasa is a great and strong leader we remained with. I like someone who is capable of standing up for his nation and who is able to make difficult decisions in the difficult situation, we have tired with “tume hata kama kitu kiko wazi”. Lowasa is the only one who can move us forward from where we are.

 5. Mtanzania Halisi, 09 January, 2015

  state house is not a hospital where people go to ill themselves, we just want healthy ones. Eddo be careful with that. let it not happen as Satta’s.

 6. Mj’s, 09 January, 2015

  tunataka kiongozi atakayekuja na mambo mapya, Lowasa anawatu wanaojihusisha na ufisa kama Chenge, Karamagi na Msabaha wanaohusishwa na ulaji wa nchi.

 7. pajefa, 19 January, 2015

  yes,hakuna mwingine bana

 8. pajefa, 19 January, 2015

  big yes

 9. Patriotic, 01 February, 2015

  I believe in a strong leader and strong leadership. This could be found in Edward Lowassa. A man full of strategic power and who exactly know how to instill discipline in the public service. A man whose political statement is true and means whst he says. The sons and daughters of the soil all are crying and longing for his leadership this year!

 10. Yohana Mgulunde, 07 February, 2015

  Hon.Lowassa you are the president of Tanzania,be prepared to rule the nation we together.

 11. Peter Ishengoma, 18 February, 2015

  This indeed is the case, we however need to review the messup of our existing president and former presidents and we come to conclusion that Mr. Edward Lowassa is excellent to become a new president of Tanzania Republic because is a strongest leader.Bigup mr. Lowassa.

 12. Deusdedith Massimba, 01 March, 2015

  For me i think Lowassa will be the best president,because he is economically well we don’t want the president who work for those who helped/supported him financially during the election and Lowassa is now the president forget what Samuel Sitta did to him in the parliament.

 13. piniel steti, 19 March, 2015

  Yes

 14. solomon g kadanga, 28 March, 2015

  yes. hon. edward n lowassa the next president of the united republic of tanzania

 15. solomon g kadanga, 28 March, 2015

  RAIS EDWARD LOWASSA ANASTAHIL KUWA RAIS .ANA VIGEZO VYA KUWA RAIS KUTOKANA NA HISTORIA YA MAAMUZ MAGUMU ANAYOCHUAKUA. NI MBUNIFU WA MBINU ZA MAENDELEO.KI UKWEL CCM KWA MSIMU HAKUN WA KUMSIMAMISHA KWA NAFASI YA URAIS ZAID YA LOWASSA. MIMI NI MCHORAJI NANGOJ MUDA UFIKE NICHORE VITAMBAA NCHI NZIMA KUMFAGILIA LOWASSA HADI AINGIE IKULU.

 16. rose lugendo, 29 March, 2015

  lowasa juu kabisa. kwanza tunahitaji kiongozi mwenye kuweza kutoa maamuzi magumu. mwenye focus. nahisi sokoine wa pili anakuja leo.

  na ole wao ccm wasimchague lowasa. watakuwa wamekwisha. Tanzania ya leo siyo ya jana yakuchaguliwa ama kulazimishwa kiongozi. watanzania wa leo ukiwauliza wakupe majina ya mawaziri wanaofanya kazi kwa bidii wanakutajia bila shaka. watanzania wa leo wanafatilia mambo yanayoendelea tofauti na zamani. pia ccm lazima wajue pia kwa sasa communication ni rahisi sana. mitandao ya simu imerahisisha kazi ya upatikanaji wa habari. hakuna mtanzania mshamba hakuna mtanzania anayeuza haki yake.HIVYO NAISHAURI CCM ISIFANYE MAKOSA ITAKUWA NA KAZI KUBWA SANA.

 17. rose lugendo, 29 March, 2015

  WATU WANAMCHAFUA MHESHIMIWA LOWASA BURE. WANADAI LOWASA NI FISADI. NINA MIAKA KARIBU AROBAINI SIJAWAHI KUONA UFISADI KAMA ESCROW. YANI HIYO NI KALI KULIKO ZOTE. WATU WANAGAWANA FEDHA NYINGI TENA ZA KUTISHA HADI WAHISANI WANAGOMA KUTOA MISAADA.AIBU KUBWA SANA. UPO WIZI LAKINI SIYO WA NAMNA HII HATARI NCHI YETU ILIPOFIKIA.

  KWA KWELI TUNAHITAJI KIONGOZI MAKINI SANA KATIKA NCHI YETU. TUPO MAKINI KUSHINDA NYAKATI ZOTE ZA UCHAGUZI. HATUTAKI UJINGA KABISA. HII NI NCHI YETU TUTAIPIGANIA. NA KIONGOZI TUNAYEMTAKA TUTAOMBA KWA MUNGU ALIYEHAI ALIYETUPA NCHI HII ATUSAIDIE.

 18. solomon g kadanga, 31 March, 2015

  EDWARD N. LOWASSA. MIEZ 5 TU IMEBAKI UTUONGOZE WATANZANIA.

 19. Peter Ishengoma, 01 April, 2015

  Mr. O Lord don’t stay away from Lowassa and Tanzania come quickly to rescue our country save us from the sword,save our life from these dogs. rescue us from these Lions. we are helpless before these wild bulls.we will tell our people what have done. we will praise you in their assembly for giving us a new president Lowassa.God is our shelter and strength, always ready to help in time of trouble. so we will not be afraid, even if the earth is shaken and mountains fall into the ocean depths: even if the seas roar and rage. and the hills are shaken by the violence God is with us.Big up mr.new president Lowassa.

 20. Innocent Parsalaw., 01 April, 2015

  We cant be having a complaining nation, leaders are complaining we citizens are complaining and every one is complaining.,we need some one who can rescue education, health and agriculture as the sector which employs millions of Tanzanians. We need some who can make decisions and stop this complaints and that some one is a brilliant and a brave president and that president is you Sir. EDWARD NGOYAI OLOWASSA. I am praying for you Sir.

 21. rajabu kibewa, 26 April, 2015

  namkubari lowasa

 22. Double n, 19 May, 2015

  Penda sana lowasa, wewe ni Raisi tu watake wasitake na ccm ikitaka kushindwa uchaguzi huu hasa nafasi ya u raisi basi wampige chini Lowasa waone segere litakavyochezwa

 23. salmin msuya, 04 August, 2015

  Mimi inaniuma sanaa mana wanaomchukia lowassa ndani ya ccm hawana uthibitisho na hoja za kuaminika kanni wanamchukia by the way mzee loowassa ni jembe sanaa na anania ya kuwasaidia wananchi kwani kama ingekuwa mwingine angekatz tamaa..godd b lowassa god bless tanzania

 24. kabambass, 13 August, 2015

  yes there is no one like Edward

 25. kabambass, 13 August, 2015

  hawa jamaa wanaleta undugunaization kwenye nchi mawazo yao yamepitwa na wakati sisi tunamjua lowasa vizuri yeye nikiongozi fikra za kizamani zimepitwa na wakati kama kuna RAIS NI LOWASA

 26. richard, 17 August, 2015

  lowasa ni ufunguo wa kufungia ccm ushindi wa goli lamkono

 27. dinna moshi, 18 August, 2015

  I love my president lowassa my God help us to get him

 28. jacqueline, 27 August, 2015

  Yes we need change.Change can be delayed but not prevented.Because generation comes and generation go.Old generation die and new generations are born.We need someone who can put thing in right way and not someone who do things right.We need a leader and not a manager from the chama kile kile na watu wale wale.These cadres are using many tactics to remain in power.wana uchu wa madaraka sana.tangu 1954 TANU mpaka leo CCM hawataki kuachia madaraka.wanafanya kila hila wabaki madarakani.Wamemnyima uwanja wa jangwani,taifa, daladala na sokoni.mzee lowasa kafungue kampeni sehemu nyingine hata kama ni biafra tutakuja au hata mkoani.wa CCM anaendelea kumwaga sumu.
  You are our leader.Long live Lowasa
  I am for Lowasa as president

 29. glory, 18 September, 2015

  big yes

 30. john, 18 October, 2015

  is good to be our next P,
  he is loyal to GODALMIGTHY,himself,family,tanzanians.He is standing firmly to his decision,He has personalty both localy and international.

 31. john, 18 October, 2015

  He is good to be our next President

Copyright © Bongo Celebrity