“MAPENZI BASI”- DIAMOND PLATNUMZ (BrAnD NeW TrAcK)

diamond-platnumz

Unapodhani kwamba Diamond amepunguza kasi. Unapodhani kwamba sasa mzigo wa kupamba kurasa za mbele za magazeti ya udaku umemuelemea. Unapodhani kwamba huenda sasa sifa za kupendwa na mashabiki na kinadada zimempanda kichwani.Unapodhani kwamba sasa theme za mapenzi zimemwishia, anasema Hapana.

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Diamond. Unaitwa Mapenzi Basi. Ni kutoka AM Records chini ya Maneke. Listen

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

  1. jazzie, 15 April, 2013

    Naona Diamond kaamua kutokuja na kitu kipya, from a creative standpoint. Nadhani mwisho wake unakaribia…kama ilivyokuwa kwa Mr. Nice.

  2. renatusrejius, 06 May, 2013

    mapenzi basi diamond

Copyright © Bongo Celebrity