MwanaFA_TheFinest Online Poster

Be Sociable, Share!

Feedback / Comments

One Response to “MwanaFA: THE FINEST”

 1. Comment by Deo Isaack Kapufi on December 20th, 2013 2:41 am

  MWANAFA !

  Kazi zako nyingi zimetegemea sana ubunifu wako, kwa hilo nakupa hongera.

  Pili, nakupamba kwa kutokuwa ”Bias”kama wasemavyo wenzetu ,umeshirikisha wasanii tofauti tofauti katika kazi zako, kama vile AY na wengineo.

  Ongezeni jitihada, vamieni stage, kulingana na tukio au mazingira mnaweza kufanya, Sales and Marketing ya kazi zenu kuliko kufanya performance kiutamaduni,au mazoea.

  Badilikeni kama vinyonga,mfano kama mnapiga US, fanana na mazingira yako kwanza, your culture halafu vuta hisia za America halafu maliza na vitu adimu, hapo unavuta pesa na mashabiki kote.

  Be creative ! Poa.

Leave a Reply