OKOA FEZA ASITOKE NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA-THE CHASE

FEZA
Watanzania wawili wanashiriki Big Brother Africa-The Chase mwaka huu.Ni Nando na Feza. Sasa Feza wiki hii imemkalia vibaya.Ni miongoni mwa wanaopigiwa upatu watoke.Eviction ni siku ya Jumapili.
Lakini kama unavyojua una nguvu ya kumuokoa..fanya hivyo. Tembelea http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/
Jinsi ya kupiga kura kwa SMS
Tanzania
Vodacom 15456
Tigo 15456
Zantel 15456
Airtel 15456
  1. aichi, 06 June, 2013

    Keep it up feza I so happy your doing very good my dear

Copyright © Bongo Celebrity