WANANCHI WAMUAMINI NANI?

Mbowe na Nnauye.jpg

Mmoja anasema CCM ndio wahusika. Anasema na ushahidi wa video wanao.Mwingine anasema Alah,hapana CHADEMA ndio “wamejilipua” au kulipuliwa na wenzao waliochoshwa na siasa zao.

Kumbuka,kuna watu wamepoteza maisha.Kuna watu waliojeruhiwa kimwili na hata kisaikolojia. Wananchi wamuamini nani? Kauli za wanasiasa,jeshi la polisi, wachunguzi na wapelelezi wake au?

 

  1. Mubarak Lusonzo, 18 June, 2013

    Naomba niwawakilishe wananchi wenzangu ambao hawakuweka hisia zao humu ndani.
    Kiukweli nimeumizwa na hili tukio la mripuko wa bomu huko arusha na mpaka sasa hatuna wa kumuamini kati ya jeshi la polisi,chadema na wala hao ccm.!

Copyright © Bongo Celebrity