“BILA KUKUNJA GOTI”- MwanaFA & AY Feat. J MARTINS (BrAnD NeW)

ayfs

Mara nyingi mtu akicheza huwa kuna kukunja goti…japo kidogo. Ushawahi kujaribu kucheza muziki au ngoma bila kukunja goti? Nimejaribu kwa kutumia wimbo ambao utausikia hivi punde. Ninachoweza kukwambia ni kwamba…welll…ni ngumu lakini ina raha yake. Huku unafurahia mdundo na sauti na upande mwingine wa akili unakukumbusha usikunje goti…

Huu hapa ni wimbo ambao umekuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa muziki tangu mkali kutoka nchini Nigeria (J Martins) alipoonekana Bongo mapema mwaka huu akiwa na wakali wetu kama MwanaFA na AY na zaidi wakawa wapo studio MJ Records anapofanyia kazi zake Producer Marco Chali.

Wimbo unaitwa Bila Kukunja Goti kutoka kwa MwanaFA,AY wakiwa wamemshirikisha J Martins. Another production from MJ Records -Marco Chali

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Photo Courtesy: GongaMx

 

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity