RAIS OBAMA AANZA ZIARA YA AFRIKA

ObamainSenegal

Rais Obama na First Lady Michelle Obama wakiwa na Rais wa Senegal, Macky Sall na First Lady wa Senegal Ikulu Dakar, Senegal. Rais Obama yupo barani Afrika kwa ziara ambayo itamfikisha nchini Senegal, Tanzania na Afrika Kusini.Ameongozana na mkewe Michelle na watoto wao. Hii ni mara ya pili kwa Rais Obama kutembelea Afrika na mara ya kwanza tangu alipochaguliwa kuongoza kwa muhula wa pili. Wakati wa muhula wake wa kwanza Rais Obama alitembelea nchi za Ghana na Misri.

  1. Hope, 28 June, 2013

    I like how mama Senegal is dressed .. excellent. Lakini huyu mheshimiwa rais wa Senegal mbona kama anapigana?!!Au bado anaongelea habari za gay marriage .. amesema hata adhabu ya kifo ni chaguo la kila nchi, kwa maana nyingine, sorry baba mukulu .. sisi hatuko tayari kwenda huko .. and I agree with him.. not that I care anyway!!

Copyright © Bongo Celebrity