RATIBA YA LIGI KUU UINGEREZA(EPL) JUMAMOSI NA JUMAPILI IJAYO KUPITIA DStv

Kipute cha Ligi Kuu ya Uingereza(English Premier League-EPL) inaendelea tena wikiendi hii tarehe 21-22 Septemba. Kama kawaida ni kupitia DStv, Where Soccer Lives, ndio una uhakika wa kutizama mechi zote Live bila kwikwi wala chenga. Hii hapa ndio ratiba ya wikiendi

SuperSport- Key Live Events (EPL 21-22 Sept 2013)- Blog Banner- Revised 3

  1. Gospel, 21 December, 2013

    Bigup to you guys for being up to date on your site everyday.

Copyright © Bongo Celebrity