RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE TAREHE 1-2 OCTOBER 2013 KUPITIA DStv

Kipute cha kuwania Kombe la Mabingwa Ulaya( UEFA Champions League) kinaendelea tena tarehe 1-2 katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. DStv, kama kawaida ndio watu pekee ambao wanakuhakikishia uhondo huo Live bila chenga wala kwikwi. Taswira hii hapa chini inayo ratiba kamili

SuperSport- Key Live Events (UEFA 1-2 Oct 2013)- Blog Banner

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity