ENGLISH PREMIER LEAGUE(EPL) RATIBA YA MECHI ZA TAREHE 19-21 OCT.KUPITIA DStv

Baada ya mapumziko kidogo kupisha mechi za kimataifa za kuwania kuingia katika Kombe La Dunia 2014, Ligi maarufu ya nchini Uingereza(English Premier League) inarejea. Kama picha inavyoonyesha, hizo ndizo mechi za mwishoni mwa wiki hii. Mtafute mshikaji au washikaji kisha kwa pamoja burudikeni na soka kupitia DStv

SuperSport- Key Live Events (EPL 19-20 Oct 2013)- Blog Banner

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity