2016 Emmy Award Fashion

emmys-2016-red-carpet-1200x675

North America, September( msimu wa falls)  ni msimu  ambao  vitu vingi vinarudi kwenye routine, kama vile shule zinafunguliwa, shows nyingi  za tv zinarudi na msimu mpya baada ya mapumziko ya summer. Na mara nyingi mwezi wa tisa ni muda muafaka Emmy’s wanatoa tunzo zao.  Emmy’s Awards ni celebrations za kuwatambua na kuwapa heshima television shows zinaozo onyeshwa wakati wa jioni/usiku (the best prime time television programming). Mwaka huu 2016 ni award  show number 68 tangu zilivyoanzishwa  mwaka 1949. Kama miaka mingine iliyopita, wanaochanguliwa kushidania ushindi ni shows  ambazo zilionyeshwa msimu wa mwaka uliopita, na mwaka huu ni show zilizoonyeshwa tokea June 1, 2015 mpaka May 31, 2016. Na wanye jukumu la kuchagua nani anaingia na kushinda katka list nzima ni Acadamy of Television Art & Sciences.

Kwa wale mbao waliangalia ile show ya O.J Simpson “People v. O.J. Simpson; American Crime Story, ndio walio chukua trophies zaidi ya wote, jumapili hii.  Wameshinda Emmy’s tano..(Outstanding Lead Actor in a Limited Series or Movie,  Outstanding Lead Actress in a Limited Series or Movie, Outstanding Supporting Actor in a Limited Series or Movie, Outstanding Writing for a Limited Series, Movie, or Dramatic Special, and Outstanding Limited Series)

oj

Courtney B Vance, Sarah Paulson and Sterling K Brown wote wamepata trophies

Hata hivyo game of Throne walikuwa na nomination  nyingi zaidi kuliko shows zote zilizochaguliwa kushinda, waliweza kujichukulia trophies tatu ambazo ni  (Outstanding Drama Series, Outstanding Directing for a Drama Series na Outstanding Writing for a Drama Series) Lakini ni show iliyo shinda zaidi Emmy’s kuliko shows zote katika historia ya Emmys

game-of-thrones

Game of Thrones mpaka sasa wamesha win 38 Emmys kwa ujumla.

 

Kama kawaida yetu, hatukupitwa na fashion. Waalikwa hawaku dissapoint. Kulikuwa na bright colours, kama njano, green, oranges, Red amabazo zilionekana kwa wingi. Of course kuna waliowazidi wengine, lakini kwenye hapo kila mtu na choices zake.  leo tumeona tuweke top ten(Sio kwa mpangilio maalum) yetu ya madada tulioona wametufurahisha. Ukitaka kuona wote wamevaa nini unaweza ingia Vogue kujionea mwenyewe.

emily-ratajkowski-in-zac-posen-dress

Emily Retajkowoski in Zac Posen Dress.

 

angela-basset-in-christian-siriano

AngelaBasset in Christian Siriano.

 

natasha-lyonne-in-sally-lapointe

Natash Lyonne In Sally Lapointe

 

prianka-chopta-in-jason-wu

Prinka Chopra in Jason Wu

 

sofia-vergara-in-atelier-versace

Sofia Vergara in Atelier Versace

 

tracee-ellis-in-ralph-lauren

Tracee Ellis in Ralph Lauren

 

claire-danes-in-schiparelli-houte-couture-dress

Claire Danes in Schiparelli Couture dress

 

falicity-huffman-in-tony-ward

Falicity Huffman in Tony Ward

 

lervene-cox-in-naeem-khan-dress

Lervene Cox in Naeem Khan

 

sarah-paulson-in-prada

Sarah Paulson in Prada

I love this one, I wish ingekuwepo number 11.( oh well…)

kristen-bell-in-zuhair-murad-couture

Kristen Bell in Zuhair Murad.

 

 

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity