“Madaraka Ya Kulevya”-Weusi (Official Audio)

Huenda tukawa na wiki isiyo na”drama”. Nimesema huenda. Kiki ndio mwendo. Ku-make headlines wanasema wenyewe. Kwa hali ilivyo, wimbo huu mpya wa Weusi, umekaa mule mule. Tumekuwa taifa la matukio. Ili mradi tu tunalo la kuongelea. Kikombe cha kahawa mkono huu na mwingine kashata au njugu. Kule nawaona wengine wakitafuna bisi au ubuyu. Naam. Ndio viwanda vyetu tulivyoahidiwa. Nimesikia kuna kamsemo; vi-wonder.

Wasikilize kwa makini Weusi. Wenyewe wanasema na kuapa kabisa kwamba wimbo wao hauhusiani na siasa. Unawaamini? Kwanini?

  1. Theobald venance, 04 April, 2017

    It is a nice song good collaboration,as you know chiddima is a good singer has alot of efforts as well as john makini from tanzania seen

Copyright © Bongo Celebrity