“Sina Kinyongo”-Salum Simba “Twaha” (BrAnD New)

Kuna mwanamuziki aliwahi kuimba penzi la kweli halikosi wivu. Na mwingine akasema penzi ni kama kikohozi.Huwezi kukificha. Katika wivu na mapenzi, panaweza kujitokeza kinyongo. Kwenye vinyongo kuna visasi. Waliokuwa wakipendana kama chanda na pete, hawaelewani tena. Ni paka na chui. Wanafanana lakini hawapikiki chungu kimoja.

Naam. Salum Simba almaarufu kama Twaha, ndio kwanza anaianza safari yake. He’s not yet a household name. But he’s coming up. Here is his debut song titled Sina Kinyongo. Wimbo huu amerekodia pale Wasafi Records.

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity