Mchanganuo Mfupi Wa Mabadiliko Ya Kodi Kufuatia Bajeti Ya 2017-2018

Wiki iliyopita ilikuwa ni wiki ya bajeti nchini Tanzania. Kawaida huwa pia ni siku ya bajeti katika nchi jirani zinazotuzunguka.

Bajeti huashiria muelekeo wa siasa uchumi ya nchi kwa mwaka ujao wa fedha.Lakini bajeti pia huja na mabadiliko kadha wa kadha kwenye masuala ya Kodi. Kimsingi kodi,ikiwemo ukusanywaji na matumizi yake ndio hutofautisha serikali muflisi na serikali zinazofanikiwa kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili nchi hususani katika maeneo nyeti kama afya,elimu,ajira na uchumi kwa ujumla.

Mtaalamu wa masuala ya kodi, Innocent Wilfred Makundi, ametuletea muktahsari wa mabadiliko mbalimbali ya Kodi kama alivyoweza kuyabainisha kutoka kwenye Bajeti ya serikali ya mwaka 2016/2017.

Budget Analysis- 2017-2018 Innocent by Bongocelebrity on Scribd

Comments Closed

Comments are closed.

Copyright © Bongo Celebrity