‘AFCON 2013’ Category

Chris Brown Amkuta “Stalker” Akiwa Chumbani Kwake Mtupu Kama Alivyozaliwa!

Mojawapo ya matatizo wanayokumbana nayo celebrities (celebrities wa ukweli lakini) ni pamoja na kufuatwa fuatwa na mashabiki wenye mapenzi ya kiunde-wazimu hivi aka… 0

MASHABIKI WA SOKA ZANZIBAR WALIVYOFURAHIA FAINALI AFCON 2013 KUPITIA DStv

Kwa zaidi ya wiki tatu zilizopita, kuanzia tarehe 19 Januari 2013 mpaka 10 Februari 2013 mashabiki wa soka barani Afrika na duniani kote… 1

NIGERIA NDIO MABINGWA WAPYA WA SOKA AFRIKA;

Timu ya Taifa ya Soka ya Nigeria maarufu kama The Super Eagles, imefanikiwa kunyakua Ubingwa wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa upande… 0

FURAHIA FAINALI YA AFCON 2013 KUPITIA DStv!

MASHABIKI WA SOKA NCHINI WAENDELEA KUFURAHIA AFCON 2013 KUPITIA DStv PEKEE!

Michuano ya kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika kwa upande wa soka(AFCON 2013) inaelekea ukingoni. Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa michezo… 0

NUSU FAINALI AFCON 2013: GHANA Vs BURKINA FASO/ NIGERIA Vs MALI

Masaa machache yajayo, timu zitakazotinga katika Fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika(AFCON 2013) zitajulikana. Timu hizo zitapatikana kufuatia michezo ya nusu… 0

GHANA Vs CAPE VERDE/ SOUTH AFRICA Vs MALI KATIKA ROBO FAINALI AFCON 2013 JIONI HII.TIZAMA LIVE KUPITIA DStv

Miongoni mwa hadithi maarufu za kitabu kitumiwacho na waumini wa kikristo(Biblia) ni pamoja na ile ya Daudi na Goliati. Goliati alikuwa ni askari… 0

CONGO DR KATIKA MCHEZO WA KUFA AU KUPONA DHIDI YA MALI #AFCON2013

Timu ya soka ya Congo DR jioni hii inateremka dimbani kukabiliana na timu ngumu ya Mali katika mchezo wa Kundi B katika kuwania… 0

MASHABIKI WA SOKA JIJINI MWANZA WAENDELEA KUFURAHIA NA KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA 2013 LIVE KUPITIA DStv

Michuano ya kuwania Kombe la Mataifa Afrika 2013 ambayo pia inajulikana kama Orange Africa Cup Of Nations inazidi kupamba moto kutokea katika miji… 0

GHANA YAICHAPA MALI 1-0

Wachezaji wa Ghana Asamoah na Mubarak Wakaso wakishangalia goli.Mubarak ndiye alikuwa mfungaji. FullTime: Ghana 1 Mali 0 Timu ya Taifa ya Ghana, imefanikiwa… 0

Copyright © Bongo Celebrity