Tunaendelea na session yetu ya Flashback Friday.Leo tunao Next katika wimbo wao Too Close.Hope you enjoy this one and enjoy your Friday!If you gonna drink,please be a passenger and never a driver!

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Wiki hii kwa kiasi kikubwa imekuwa ya taratibu sana hapa kwetu BC.Mambo yamekuwa mengi kupita kiasi.Bahati nzuri ni kwamba mambo yote hayo ni katika kuhakikisha kwamba wewe msomaji wa BC unakuwa unapata kitu ambacho kimefanyiwa kazi na sio copy and paste.Sisi tunaamini kwenye kupashana habari,kuelimishana,kuburudishana,kukosoana,kurekebishana bila kusahau kuheshimiana.

Sasa leo tunaanzisha kitu kipya.Kitakuwa kinaitwa BC Flashback Friday.Kila Ijumaa tutakuwa tunaweka burudani ya muziki ya kutoka miaka ya nyuma kidogo.Itakuwa ni aidha 70s,80s,90s,20S.Nia ya hiki kipengele ni kuburudisha na kukumbushana ilivyokuwa enzi hizo.

Leo tunao kina dada wa kundi lilikuwa linaitwa Zhane.Hawa walitamba sana miaka ya 90s.Hapa wanacho kibao Hey Mr.DJ ambacho ni maalumu kabisa kwa Ijumaa.Je,kibao hiki kinakukumbusha wapi?Ilikuwaje enzi hizo.Usiwe mchoyo wa “soga”.Tuambie.Tunakusikiliza.Ijumaa Njema

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

↑ Go Back to Top of Page