Home BC Investigative

Category: BC Investigative

Post

UNITY ENTERTAINMENT

Hivi karibuni tulipotambulisha single mpya ya AY inayokwenda kwa jina Freeze, palitokea mabishano makali sana kuhusiana na kama ni kweli AY ni established artist ambaye ana mpaka ofisi yake inayohusiana na suala zima la burudani na muziki. Umuhimu wa elimu ya darasani (formal education) pia ulizua gumzo.Nadhani wote tunakubaliana kwamba elimu siku zote ni suala...