‘Bongo Flava’ Category

“TAJIRI WA SAUTI”

Mkasa wa maisha yake sio wa kipekee. Ni mambo ambayo yameshatokea na yangali yakitokea kwenye jamii zetu na pia ulimwenguni kote. Kinachoufanya mkasa… 41

MwanaFA YU HAI(?)

  Habari zilizokuwa zimeenea katika mitaa ya jiji la Dar-es-salaam katikati ya wiki hii kwamba msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Hamisi… 9

“DINGI” NI KISA CHA KWELI-MANDOJO NA DOMOKAYA

Ukikutana nao mitaani, mara nyingi watakuwa mabegani wamebeba magitaa yao. Kwao muziki ni kila mahali. Tungo zao zinatoka sio tu kwa wanachokiona kwenye… 28

WANAUME TMK

  Kwa pamoja wanajulikana kama Wanaume TMK. Makazi yao ya kudumu ni Temeke jijini Dar-es-salaaam. Wao na lile kundi lingine lijulikanalo kama Wanaume… 7

LADY JAYDEE & BANANA ZORRO

Pichani ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Banana Zorro na Lady Jaydee. Wasanii hawa ni miongoni mwa wasanii wachache wa muziki wa… 12

JAFFARAI NA SHYROSE BANJI

  Pichani ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Jaffarai akiwa na mpenzi wake Shyrose Banji. Shukrani za picha hii zimwendee Haki wa… 19

ILIKOTOKA BONGO FLAVA!

Aina ya muziki ijulikanayo hivi leo kama Bongo Flava au muziki wa kizazi kipya umetoka mbali. Hii leo tunao vijana lukuki ambao kutokana… 2

“SIJATETEREKA KWA CHOCHOTE,NIPO”-MR.NICE

  Yakitajwa majina ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao, kwa kutumia au kupitia muziki, wamekuwa ni “mabalozi” wazuri wa Tanzania katika… 70

FIESTA 2007

  Pichani ni baadhi ya wasanii watakaoshambulia jukwaa kesho.Zimepigwa na Michuzi Jr na kunakishiwa ndani ya Chapakazi Productions. Kila mwaka wananchi wa nchi… 3

WAPI

Ili siku moja mtu ajulikane kama superstar mara nyingi anakuwa ametokea mbali sana. Kabla ya kuukwaa usuperstar anakuwa amehangaika,amekatishwa tama, kubezwa, kushauriwa aachane… 3

Copyright © Bongo Celebrity