Home Dini

Category: Dini

Post
CCM Wamjibu Mchungaji Gwajima

CCM Wamjibu Mchungaji Gwajima

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kupitia kwa msemaji wake, Christopher Ole Sendeka, kimemjibu Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufunuo na Uzima kuhusu kauli alizozitoa kanisani kwake hivi karibuni. Clip ya Audio ya Gwajima ilisambaa mitandaoni(tunayo). Ingawa majibu ya CCM yanaonekana kutaka kuendeleza malumbano ambayo mimi binafsi naona sio ya lazima, naamini Mchungaji Gwajima anastahili kujikagua zaidi....

Post
Ramadhan Kareem

Ramadhan Kareem

Kwa niaba ya timu nzima ya BongoCelebrity.com napenda kuchukua fursa hii kuwatakia waislamu wote,ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo mwezi mwema Mtukufu Wa Ramadhan. Nawatakia pia mfungo mwema. Tupendane,tuvumiliane,tusameheane. Ramadhan Kareem. Share on: WhatsApp

Post

Rose Muhando Debuts New Single “Jiwe”

East Africa’s finest and the number one gospel artist drops her second single off her 1st Sony Music Africa, Rockstar4000 recording album following her first single titled “Wololo” from her “Yesu Kung’uta album. The single ‘”Jiwe” was composed and performed by Rose Muhando and recorded and produced by Yusuf Mayige at Sony Music Africa Studios...

Post

“MILANGO IMEFUNGULIWA”-PIUS BHUTOKE Feat.BONY MWAITEGE / “TUOMBEANE”- MCH.CHED NGATUNGA

As the week is almost coming to an end, we have all reasons to thank God. He is our provider and protector. He loves you just as he loves me. Nothing can come between his love for us. Here are two video releases from ShowBiz Defined. Pius Bhutoke ft Bony Mwaitege – Milango Imefunguliwa [youtube:https://www.youtube.com/watch?v=S8wy6TM3ZuI#t=254]...

Post

POPE FRANCIS AKIRI KWAMBA ALIWAHI KUIBA

Tangu utotoni nilikuwa nikisikia habari za mtu anayeitwa Papa Mtakatifu, taswira iliyokuwa inakuja kichwani ni ya binadamu aliye juu kidogo ya binadamu wengine na hivyo kuwa karibu zaidi na Mungu. Ndivyo ilivyoaminika na pengine kanisa lilitaka sote tuamini hivyo. Ni mtakatifu…hana makosa na pengine sio binadamu kama sisi. Niliona viongozi mbalimbali wa kisiasa wakitaka kuonekana...

Post

KARDINALI PENGO DHIDI YA VIGOGO

ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema viongozi ndani ya Serikali, wamekuwa wakitenda mambo mengi mabaya dhidi ya wananchi na kuficha uozo wao kwa gharama yoyote.Askofu Pengo alisema hayo jana alipokuwa anaongoza Ibada ya Misa kuwaombea watu waliopoteza maisha kwenye milipuko ya mabomu Gongo la Mboto...

Post

Flora Mbasha Kutumbuiza Katika Tamasha La Wahapahapa.

Muimbaji nyota wa nyimbo za Injili Tanzania mwenye album za JIPE MOYO, UNIFICHE,  FURAHA YAKO,Flora Mbasha pichani (akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha) ambapo kwa sasa anasikika na wimbo wake wa WANAWAKE ulioimbwa katika mahadhi ya mchiriku,ndiye msanii pekee wa muziki wa Injili atakayetumbuiza kwenye tamasha la uzinduzi wa album ya MSETO WA WAHAPAHAPA litakalofanyika Juni 7 2009 viwanja vya...

Post

JENNIFER MGENDI: NYOTA INAYONG’AA KATIKA MUZIKI WA INJILI

Akiwa tayari na albamu zisizopungua tano kibindoni, Jennifer Mgendi(pichani) ni miongoni mwa wanamuziki wa muziki wa injili au kwa kiingereza Gospel nchini Tanzania ambao wamejijengea sifa na umaarufu mkubwa kutokana na kazi yake hiyo ya uimbaji na kumtukuza mola. Lakini tofauti moja kubwa ya Jennifer na wanamuziki wengine wa muziki wa injili ni kwamba yeye...

Post

JENNIFER MGENDI

Ushasikia kwamba muziki wa gospel(injili) siku hizi unatamba sana nchini Tanzania.Mmojawapo ya wasanii wa muziki huo wa injili wanaotamba ni Jennifer Mgendi(pichani).Mbali na kuwa muimbaji wa nyimbo za injili, Jennifer pia ni mtunzi mzuri wa hadithi za filamu.Baadhi ya filamu alizowahi kutunga ni kama ile ya Pigo la Faraja na Joto la Roho. Mgendi alianza...

  • 1
  • 2