Home Dunia Na Maajabu Yake

Category: Dunia Na Maajabu Yake

Post
Kutana Na Mwanamke Wa Kihindi Anayeishi Kwa Kula Kilo Mbili Za Mchanga Kila Siku!

Kutana Na Mwanamke Wa Kihindi Anayeishi Kwa Kula Kilo Mbili Za Mchanga Kila Siku!

Kuna visa au matukio mengine ukiyasikia unahisi ni hadithi ya kutunga. Unakumbuka alfu ulela. Wametunga hawa. Lakini duniani kuna watu. Kuna viatu pia. Na Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana siri kubwa. Unavyoishi wewe,sivyo anavyoishi mwenzako. Kila mtu na lwake. Nchini India kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 78 anayeitwa Kusma Vati. Anadai kwa miaka 63 iliyopita...