‘Editorial’ Category

KIJIWE CHA WIKIENDI-30-3-2013

Nikiliangalia jua naona linakaribia utosini. Hiyo ni kumaanisha kwamba saa sita imekaribia. Leo jua limewaka kweli kweli. Na kwa sababu jana mvua za… 2

ABSALOM KIBANDA: NANI KAMFANYIA HIVI NA KWANINI?

Mwenyekiti wa Jukwaa La Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda. Kwa mara nyingine tena katika kipindi kisichozidi mwaka, tasnia ya habari ipo katika majonzi. Kwa… 0

HASHEEM Vs TID:STOP IT!

Zipo habari kuhusu celebrities wetu ambazo huwa nikizisikia kinachonijia kwanza ni masikitiko.Huwa nasikitika ninapoona kwamba watu fulani ambao ni role-models kwa vijana wetu,wanakuwa… 14

TUNAWEZA KUJIFUNZA NINI KUTOKA KWAO?

Kwa faida ya msomaji ambaye, kwa sababu moja au nyingine hawezi kuwatambua waliopo pichani; Kutoka kushoto ni Kenneth Kaunda,maarufu kama KK(Rais wa Zambia… 7

MAHOJIANO YANGU NA FREDDY MACHA

Naweza kusema nimeshazoea kuhoji wenzangu.Kuhoji watu ambao ndio chachu hasa ya BC bila kusahau msomaji ambaye ni wewe.Kumbe wakati nawawinda watu wa kufanya… 9

HONGERA “SIMBA WA VITA”

Hivi majuzi,Mzee wetu, Rashid Mfaume Kawawa, alizindua kitabu kinachoelezea maisha yake.Kitabu hicho ambacho kimeandikwa chini ya usimamizi wa Mkuu wa Chuo Cha Mwalimu… 13

HAPPY NEW YEAR!

Hatimaye siku 365 za mwaka 2008 zimefikia ukingoni.Ninavyoandika ujumbe huu tayari kuna sehemu mbalimbali za dunia ambapo tayari sekunde za mwisho za mwaka… 20

NENO AU JINA BONGO FLAVA;CHANZO CHAKE NINI AU NANI?

Historia ya muziki wa kizazi kipya au Bongo Flava kama unavyojulikana miongoni mwa wengi hivi leo una historia ndefu. Ni historia ndefu kiasi… 26

UZURI,UREMBO,MVUTO: NINI MAANA YAKE?

Binti aliye pichani hapo juu anaitwa Megan Fox.Kwa mapana na marefu sio bongo celebrity.Yawezekana kabisa kwamba hata Bongo hajawahi kuisikia! Kwanini basi tumemuweka… 39

MUGABE:KIELELEZO CHA UONGOZI AFRIKA?

Katika anga za siasa duniani hivi leo,lipo jina ambalo dunia nzima inaendelea kulizungumzia.Hilo si lingine bali lile la Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel… 36

Copyright © Bongo Celebrity