Home Fashion Designer

Category: Fashion Designer

Post
Swahili Fashion Week 2016

Swahili Fashion Week 2016

20% off at Links of London! Code: LONDON20 Valid 12/1 – 12/31 Swahili Fashion Week is annual fashion event done in Dar-es-salaam Tanzania providing platform for fashion and accessory designers from Swahili speaking countries and beyond to showcase their talent, market their creativity and network with clientele within the continent and internationally. The aim of...

Post
Interesting Pairs Of Shoes For Spring 2017

Interesting Pairs Of Shoes For Spring 2017

Katika pita pita zangu kwenye Social Media, nimeona celebrities (au watu wa kawaida tu) wakinangwa na styles zao. (Au specific kitu alichokivaa).  Sisemi  kwamba kuwa fashion critic ni vibaya. Hapana. Ila kuna wale ambao wao hawako pale kukosoa muonekano mzima wa mtu kwa kutoa ushauri wa kurekebisha au kujenga (constructive ctiticism) bali wapo pale kuchambua...

Post
Designer Handbags For Spring 2017 Collections.

Designer Handbags For Spring 2017 Collections.

Katika mtiririko mzima wa fashion, bags(handbags) ni kitu muhimu sana kwa mwanamke, hasa wale wanaopenda fashion.(mafashionista). Popular fashion designers kama Dior, Louis Vuitton, Hermes, Chanel, Gucci, Prada, na wengine wengi, wanajulika sana kwa ubora na ughali wa handbags zao. Na handbags zao nyingi zime kopiwa sana, (Fake handbags) na zinauzwa  dunia nzima. Na wakati mwengine...

Post
2016 Emmy Award Fashion

2016 Emmy Award Fashion

North America, September( msimu wa falls)  ni msimu  ambao  vitu vingi vinarudi kwenye routine, kama vile shule zinafunguliwa, shows nyingi  za tv zinarudi na msimu mpya baada ya mapumziko ya summer. Na mara nyingi mwezi wa tisa ni muda muafaka Emmy’s wanatoa tunzo zao.  Emmy’s Awards ni celebrations za kuwatambua na kuwapa heshima television shows...

Post
Marc Jacob’s Spring 2017 Fashion Show Ya NYFW Imeleta Utata.

Marc Jacob’s Spring 2017 Fashion Show Ya NYFW Imeleta Utata.

  Ukimfuatilia sana Marc Jacob, sidhani kama hii kitu inayoendelea sasa hivi inaweza kukushangaza. Ni mmoja wa ma designers ambao kila mara wanaleta gumzo mjini kwa namna moja ama nyingine. Ana vitu vingi vingi sana  ambavyo kila mara lazima aongelewe. Mara nyingi sana matangazo yake ya biashara zake yanakuwaga gumzo. Hata wakati mwingine fashion shows...

Post
Round Up For New York fashion Week SS2017

Round Up For New York fashion Week SS2017

For the  past week, New York was very busy.  Designers, models, celebrities, hotels, uber and everything around New York. It was fashion week, new designs, new looks, celebrity ready to open up their wallets, stylists busy to  using their imagination to create  new looks for their clients and designers pumped up to show their creativities...

Post
Martin Kadinda Men’s Wear In South Africa Fashion Week (SS 17)

Martin Kadinda Men’s Wear In South Africa Fashion Week (SS 17)

Martin Kadinda is young and talented Tanzania’s Fashion Designer. If I can be more specific, his ancestors are from Iringa region although he was raised in the buzzing coastal City of Dar-es-salaam, which means “Haven Of Peace”. I have known Martin for years. Every time he surprises me with his talents. Among numerous talents bestowed on...

  • 1
  • 2
  • 7