Home For Your Laugh

Category: For Your Laugh

Post

RAIS WA CZECH AIBA KALAMU “LIVE”!!

Tembelea habari za mtandaoni leo uone habari gani inabamba zaidi hususani kwenye YouTube.Si nyingine bali ni ile ya Rais wa Jamhuri ya Czech kukamatwa na kamera akiiba kalamu “live live” wakati wa ziara yake nchini Chile.Wakati mwenzake yuko “bize” akiongea na waandishi wa habari,jamaa yeye kaona ndio wakati wa kuondoka na kalamu.Tizama video hiyo hapo...