Home Gonzalo Higuain

Category: Gonzalo Higuain

Post
Gonzalo Higuain Ajiunga Na Juventus Akitokea Napoli

Gonzalo Higuain Ajiunga Na Juventus Akitokea Napoli

Mshambuliaji Gonzalo Higuain amekamilisha uhamisho kutoka Napoli na kujiunga na mabingwa wa Italia, Juventus baada ya mabingwa hao kukubali kulipa kitita cha dola takribani Milioni $104. Higuain raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 28  katika msimu uliopita alipachika jumla ya mabao 36 anatarajiwa kuleta tija kwa Juventus ambao wanajiandaa kushiriki katika Ligi Ya Mabingwa...