Home Harakati

Category: Harakati

Post

“WAMILIKI WA JAMII FORUMS NI WATANZANIA WANAOITUMIA”-MAXENCE MELO (MAHOJIANO MAALUM)

Tukiamua kubishana,tunaweza kufanya hivyo. Lakini endapo mwisho wa ubishi huo tutaamua kukubaliana,basi sina shaka kwamba sote tutakubaliana kwamba; miongoni mwa mitandao inayotembelewa na yenye ushawishi mkubwa na wa aina yake miongoni mwa watanzania wengi,mtandao wa Jamii Forums au kwa kifupi JF hauwezi kukosa katika orodha hiyo. Lakini tofauti na mitandao mingine ambayo kimsingi imekuwa ikiendeshwa...

Post

SIKIKA: INATOSHA;UBADHILIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI UKOMESHWE!

Sikika imesikitishwa na kushtushwa na ripoti  iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG) iliyoibua matumizi mabaya ya fedha za umma na kiwango kikubwa cha misamaha ya kodi.   Ripoti hiyo inaonyesha kuwa misamaha ya kodi iliyotolewa imeongezeka kutoka shilingi za Tanzania bilioni 680.7 mwaka 2009/2010, hadi  kufikia trilioni 1.016 mwaka 2010/2011....